Wasichana wa kileo wapo 'insecured' sana

Wasichana wa kileo wapo 'insecured' sana

Badilisha watu unaokaa nao badilisha sehemu unazokaa, up your game, up your standards, if you sit among insecure people you will hear insecure stories, njoo huku kwa ma intellectual usikie story zetu, tulishahamaga hizo level. Level up and stop complaining, makes you look even more insecure than the girls you are complaining about 🚮
 
Ooops hao ni MaSlay, maongezi Yao makusudikally Huwa yanalengo ya kuwafanya muwaone wanathaman, in turn wewe mtongozaji utajikuta unamuona huyo Demu ni wa bei kaliiii, kwahiyo lazima umuonge Mafwezaaaa kumbe hamna lolotee🤣🤣.


Siku hizi mademu wanagongwa hata Kwa Ahadi tu, msidanganyike Ndugu zangu !!🤣🤣
 
Tafuta pesa uache kufuatilia maongezi ya visichana.
 
Badilisha watu unaokaa nao badilisha sehemu unazokaa, up your game, up your standards, if you sit among insecure people you will hear insecure stories, njoo huku kwa ma intellectual usikie story zetu, tulishahamaga hizo level. Level up and stop complaining, makes you look even more insecure than the girls you are complaining about [emoji706]
Okay! Some cases huwezi kuepuka. Nadhani unatakiwa uelewe hilo.
 
Ooops hao ni MaSlay, maongezi Yao makusudikally Huwa yanalengo ya kuwafanya muwaone wanathaman, in turn wewe mtongozaji utajikuta unamuona huyo Demu ni wa bei kaliiii, kwahiyo lazima umuonge Mafwezaaaa kumbe hamna lolotee[emoji1787][emoji1787].


Siku hizi mademu wanagongwa hata Kwa Ahadi tu, msidanganyike Ndugu zangu !![emoji1787][emoji1787]
Mkuu wewe umenielewa. Na ndicho nilichomaanisha, ni kero. Zaidi ya mara kumi sasa mkikaa sehemu na jinsia ke, iwe kwenye seminars, ofisini nk, wengine tunakuwa bored mno! Si ke tu, hata me wenye pigo hizi.
 
Nilidhan ni mm tu,ila kila nikitembea na nikakutana na mademu wanaoongoza kabla hawajaniona wanakuwa kimya ila wakishaniona ni Kila mmoja ataanza kuongea,na kucheka Cheka hovyo,Hadi nawahurumia
 
Nilidhan ni mm tu,ila kila nikitembea na nikakutana na mademu wanaoongoza kabla hawajaniona wanakuwa kimya ila wakishaniona ni Kila mmoja ataanza kuongea,na kucheka Cheka hovyo,Hadi nawahurumia
Hii kitu ni real mkuu. Mimi sielewi why mademu wengi wanakuwa wanajishaua mno wakiniona... stori za kipuuzi tu wanajiongelesha. Kwamba niwaone matawi au?

Si hao tu. Mpaka madume mkuu wapo wamejaa tele... mmejuana dk 5 tu ila ameshakuambia vitu vyake 3/4!
 
Back
Top Bottom