Kama wachina rangi yao ya kujivunia kwa nini wanachichubua ngozi ili waonekane kama rangi ya wazungu? Wasichana wengi wa nchi za Asia iwe china, na nchi nyinginezo wanachichumbua sana kwa mikorogo.
Miaka kama minne hivi iliyopita nilipokuwa chuoni nchini Marekani tukiwa kazini baada ya amsomo tulishtusha na msichana mmoja mfanyakazi mwenzetu alivyoanza kubadilika rangi mabaka mengi mara ngozi kubanduka usoni, nilikuwa wa kwanz akuulizia kulikoni, akaniambia ameweka mkorogo kupata ladha nzuri ya ngozi, wamarekani wakawa wanacheka sana. Baada ya wiki mbili hali yake ilirudia kuwa nzuri na usoni kuoekana kama rangi ya wazungu huku wajiri wa kiasia na nywele zao za kiasia.
Hao hao ndio wanaoleta sabuni za kugeuza wasichana ubikira.
hao hao ndio wanaowafunza vijana wetu kutumia sabuni kuwa madawa ya kujiremba.
Kizazi kibaya hicho tuwe makini.
Ifupi jamii za Kiasi ni wabuguzi kuliko wazungu, po pote waishipo wapo kipekee na kivyao, angalia hata Tanzania hawachangamani na watanzania. Ni wabaguzi balaa ingawa ni maskini kama sisi tu. Ile rangi yao ya uzeruzetu wanajiona dhahabu mbele ya waafrika.