Wasichana wa Kichina

Lakin huku tunavyowachekeaa! !tuchina tubayaa hatuvutii hata chembe,halafu wao hawajishangai wanavyofanana vimacho,ufupi sura mbaya sijui ni makapi ya wapi
ni toleo la mwisho la watu wanaosadikika ni result ya evolution ya white Apes!
 
Lakin huku tunavyowachekeaa! !tuchina tubayaa hatuvutii hata chembe,halafu wao hawajishangai wanavyofanana vimacho,ufupi sura mbaya sijui ni makapi ya wapi
Shostiii hakuna alokamilika, asipokuvutia wewe mwengine humuona angel. Tumeumbwa tofauti ilituzaliane kwa mfumo wa miezi tisa.
 
Mwisho wa siku hakuna sehemu nzuri ya kuishi mtu mweusi zaidi ya Africa tena kusini mwa jangwa la sahara rudini tujenge nchi zetu
Na albino akaishi wapi???!! si wanawindwa? na vikongwe wakaishi wapi ???!! Majanga jangwani.... pole kwa wote.
 
Ubaguzi ni kila kona. Ukiachilia huu ubaguzi wa wachina kwa Waafrika, hata Ulaya, wazungu kwa wazungu wanabaguana. Wazungu wa Ulaya magharibi wanawabagua sana wale wa Ulaya Mashariki, wanaotokea nchi kama Estonia, Poland, Czech, Serbia, Georgia, Romania, Bulgaria, Lithuania n.k. Ikumbukwe kwamba nchi hizi nyingi zimetokana na former USSR, kwa hiyo bado chumi zake hazijakaa sawa, hivyo wakienda Ulaya magharibi wanachukuliwa kama wanaenda kuganga njaa. Hii nimeishuhudia mwenyewe, nilidhani ni sisi tu Waafrika tunaobaguliwa.
 
Lakini sisi tunavyowaabudu, acha tu kina nape na mwigulu wanawanadi hadi kwenye mikutano yao hk tembo wanaisha.
 
So it's OK wewe ubague ila ukibaguliwa ni issue..akili za Matope!

Jus a msg usitoe povu, sijali kubaguliwa kwasababu am single ID katika hii dunia,
kubagua au kubaguliwa is jus a state of mind
So kwangu mi nasimama as single human being, mengine yooote ni slogans za wanadamu
 
Lakin huku tunavyowachekeaa! !tuchina tubayaa hatuvutii hata chembe,halafu wao hawajishangai wanavyofanana vimacho,ufupi sura mbaya sijui ni makapi ya wapi

Kama wachina rangi yao ya kujivunia kwa nini wanachichubua ngozi ili waonekane kama rangi ya wazungu? Wasichana wengi wa nchi za Asia iwe china, na nchi nyinginezo wanachichumbua sana kwa mikorogo.

Miaka kama minne hivi iliyopita nilipokuwa chuoni nchini Marekani tukiwa kazini baada ya amsomo tulishtusha na msichana mmoja mfanyakazi mwenzetu alivyoanza kubadilika rangi mabaka mengi mara ngozi kubanduka usoni, nilikuwa wa kwanz akuulizia kulikoni, akaniambia ameweka mkorogo kupata ladha nzuri ya ngozi, wamarekani wakawa wanacheka sana. Baada ya wiki mbili hali yake ilirudia kuwa nzuri na usoni kuoekana kama rangi ya wazungu huku wajiri wa kiasia na nywele zao za kiasia.

Hao hao ndio wanaoleta sabuni za kugeuza wasichana ubikira.

hao hao ndio wanaowafunza vijana wetu kutumia sabuni kuwa madawa ya kujiremba.

Kizazi kibaya hicho tuwe makini.

Ifupi jamii za Kiasi ni wabuguzi kuliko wazungu, po pote waishipo wapo kipekee na kivyao, angalia hata Tanzania hawachangamani na watanzania. Ni wabaguzi balaa ingawa ni maskini kama sisi tu. Ile rangi yao ya uzeruzetu wanajiona dhahabu mbele ya waafrika.
 
kama unawahitaji wamejazana sana mitaa ya congo corridor kariakooo tutakuitia ukitaka ila kwa bei lakini
 
Tumekusikia dogo haya rudi darasani ukasome ili ukamilishe kilichokupeleka huko. Huu umbeya uuache hukohuko kwao.
 
Hata sisi waafrika tunawabagua weupe kwa kuwapa upendeleo kuliko weusi wenzetu. Mzungu au Mchina akija ruksa hata kuua tembo, mnyrwanda akija aaaah mtusi huyu katumwa na Kagame. Ni bahati mbaya tu ubaguzi wetu, tofauti na ule wa kwao unakula kwetu.
 
Ninahisi hili suala la ubaguzi lipo kila mahali na ni la baadhi ya watu katika maeneo husika, kwa mfano huko China siamini kuwa wachina wote ni wabaguzi na haiwezekani wote wakawa sio wabaguzi. Hii ni sawa sawa na hapa kwetu Tanzania, hapa pia ubaguzi upo, kuna watanzania wenzangu (sio wote) yani ni baadhi ambao wanaubaguzi wa hali ya juu, kwa mfano kukitokea ajali baina ya mhindi na mtanzania na unakuta mwenye kosa ni mtanzania lakini kwa hao baadhi ambao ni wabaguzi utasikia wakimtukana huyo muhindi na kumwambia arudi kwao hapa si kwao.

Mimi naona tuupige vita ubaguzi maana sasa hivi dunia imekua kama kijiji, watanzania wengi wapo nje ya tanzania kwa masomo, biashara na maisha kwa ujumla sasa sisi tunaowabagua hao wageni hapa tujiulize na hao wenzetu waliopo huko nje wakibaguliwa hivi tunajisikia vipi?
 
Hata hapa Tz Wakija wanubi kuishi nanyi mtawabagua tu manake ni wagumu weusi asilia...

Binadamu wote ni Wabaguzi... hapa Duniani... Tunasoma hata kwenye vitabu vitakatifu Weusi walilaaniwa baada ya ghalika ya nuhu uzao wa mtoto mmoja wa Nuhu kumcheka Babake akiwa amelewa na akicheza cheza uchi...

Mwamedi alidiriki kusema Shetani anafanana na mtu mweusi.... Black haitakaa sawa hadi iwe nyeupe... Michael Jackson alikubalika baada ya kubadilika na kuwa mweupe.. alipendwa kote hadi huko china na india hadi leo hii anapendwa ... kama hamtaki kubaguliwa mkorogo ndio dili...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…