Nilimpata mwanadada kwa baa .kabla nikae naye niliongea na bawabu anijulishe kama huyu dada ataweka dawa kwa kinywaji changu nikiondoka.
Nilimwita mwanadada huyo nikamnunulia bia pia mimi nikachukua bia tulizungumza mda mfupi ,alafu nikaondoka nikajifanya niko msalani.nikamuuliza bawabu akanijulisha mwanadada ameweka tembe kwa kinywaji changu niliagiza kinywaji kingine .
Baadaye nikamwambia mwanadada tuende zetu kwangu akakubali. tulitoka tukaingia kwa gari langu tukaanza safari mwanadada alikua na mkoba wake.baada ya mwendo wa kilomita 10 nikajifanya gari lina shida nikaizima nikamshawishi mwanadada ashuke asukume gari.
Pindi tu aliposhuka na kusukuma gari niliwasha na nikaenda kwa mwendo wa kasi .Nilipofika kwangu kilomita 20 niliangalia mkoba wake nikapata tembe hamsini za kufanya watu walale.Hizi ndio anatumia kuwekea watu kwa kinywaji na kuwaibia.Nilifanya makosa kweli