Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,712
- 128,393
Usijali shoga angu ndio mwanzo huo.[emoji23][emoji23][emoji23]me shilawadu ushushushu sijafikia bado
Usijali shoga angu ndio mwanzo huo.[emoji23][emoji23][emoji23]me shilawadu ushushushu sijafikia bado
Waongo tu hawana lolote wafa maji hawaishi kutapatapa.siku hizi mnaangalia kichwani eeh sio misambwanda
Hivi mtani kwa miaka ya sasa bado kuna siri?Mm sitaki kutia siri zangu za ndani
Siri zipo nyingi snHivi mtani kwa miaka ya sasa bado kuna siri?
[emoji23]shooo huntakii mema wewe....Usijali shoga angu ndio mwanzo huo.
siku hizi mnaangalia kichwani eeh sio misambwanda
kweli kabisahana lolote ukiona hivyo huyo hata msambwanda alikua hana... la sivyo stori ingekua tofauti!!!
kwa leo tu kwa stori ya mleta mada.... siku nyingine msambwanda ndo habari ya mujini... bahati mbaya mdada alikosa vyote viwiliSasa ni zamu ya vichwa misambwanda imepumzishwa.
KumbeeeSiri zipo nyingi sn
Mimi ka house girl ka jirani yangu kaliniambia kanafanya kazi airport pale kanapoishi ni kwa dada.Kuna Kasichana cha Kazi hapa Nyumbani kwangu! Nashangaa kwny Profile yake ya Facebook kameandika kanasoma IFM lakin kwny Course anayosoma ndo kachemka kaandika anasoma 'Accounting and Administration' sasa sijui alikusudia course gani
Watu kama nyie ndio huwa mnaangukia pabaya kwa kufuru na dharau zenu eti "katanivurugia watoto"Mkuu nikazuri ajabu kweli Mungu hakupi vyote! Nilitamani nioe kabisa shida katanivurugia watoto.
Nakutakia mema shoga angu. Ila id feki hizi ni balaa.[emoji23]shooo huntakii mema wewe....
Mimi ka house girl ka jirani yangu kaliniambia kanafanya kazi airport pale kanapoishi ni kwa dada.
Anasoma kweli bhana,Hotel managementIn short,
Nilikuwa naenda chuo fulani, nimetoka zangu home nikiendesha kikorola changu. Njiani nikamkuta dada mmoja anasubiri usafiri wa public. Aliponiona basi akanipungia kuomba lift, nikampakia. Tukawa tunaongea machache kupiga stori na kufahamiana. Nilipokaribia mjini, nikamwuliza anakoelekea ili nijue namwacha wapi au anaenda ninapoenda. Akasema anasoma chuo X ambacho ndo huko huko mimi naenda. Nikamwuliza unasoma pale? akasema ndiyo, nikamwuliza mwaka wa ngapi? akasema mwaka wa kwanza. Nikamwuliza unasoma kozi gani? akasema education. Nikamwuliza unasoma masomo yapi ya kufundishia (teaching subject)? Akanitajia.
Jambo asilolijua mimi nimefanya kazi, na ninaendelea kufanya kazi hapo chuoni kama part time sijawahi kusikia somo mojawapo kati ya hayo masomo aliyotaja. Akili ikanituma kuwa huyu anajipa promo, bila shaka hasomi chuo. Tukaendelea na safari yetu. Nikanyoosha moja kwa moja hadi geti la chuoni, akaniuliza, kwani wewe unaenda wapi? Nikamwambia naenda hapo chuoni pia. Akauliza unasoma au unafanya kazi, nikasema nafanya kazi. Tulipofika tu getini, akaniambia nimwache hapo getini anapitia assignment aliacha stationary jana yake. Nikasema poa, basi nikamwomba namba, lengo langu likiwa kujua hatima ya uongo wake.
Baadaye mchana na jioni tukawa tunapeana hi, akawa ananichangamkia sana usipime. Mimi nikawa napeleka mada za chuo na hayo masomo anayosoma. Mwishowe akaumbuka, na kukiri kuwa yeye hasomi chuo buana. Kumbe yuko anasugua tako kureseat huko kwenye tuition centres. Alivyosema ukweli wake nikamwambia mbona hilo somo umetaja halipo hapo chuoni? ikawa mwisho wa mawasiliano.
Enyi wadada, muwe wakweli jamani. kwani kuna haja gani ya kudanganya? wee kama muuza genge sema tu unauza genge.
Huwa Wanajiona wamefika duniani wanasahau dunia inazunguka.Watu kama nyie ndio huwa mnaangukia pabaya kwa kufuru na dharau zenu eti "katanivurugia watoto"
haha ngoja ni[emoji40] mie asije kunijua akanipa kipondo.Nakutakia mema shoga angu. Ila id feki hizi ni balaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Atakua anasoma certificate of diploma in bachelor degree of o level studies.
Angekaa vizuri ningekisukuma kweli.Ulitaka kusukuma kizazi chake nini?[emoji3][emoji3]