eyamango
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 463
- 371
Sawa mkuu,umesomeka mubashara.Nilichokoza ili uelezee au ugusie saikoloji na kurithishwa kwake km matendo kwenda kwa mtoto ili wengi wetu tupate uelewa.Mkuu hizo degrii mbili nilizobeba sikupewa bure jamaaa yangu!
Psychologically intelligence ya mtoto iko likely inherited kwa mama kuliko baba. Ukiwa na mke kilaza watoto wako na hatihati ya kuwa km mama yao zaidi kuliko baba. Fuatilia tafiti kichwani hakako vizuri kiivyo.
Kuhusu kukaoa nilisha badiri gia angani kilichobaki nakahurumia kukalalua tu basi.