Wasichana na promo za "nasoma chuo"

Wasichana na promo za "nasoma chuo"

Utadhan anataka kujing'ata,sauti sasa inabanwa hio mpaka mtu unajiuliza mbona mie mwanamke mwenzie nina sauti karibia ya tatu sijui ya nne
Wengi ndio zao haswa huku mjini kila mtu ni mwanachuo na lafudhi zao sasa utadhani watoto wadogo.
 
Wala sishangai maana humu kila mkaka ana gari,keshapanda ndege, keshatoswa halafu aliyemtosa hajaolewa ni SINGLE MOTHER(mikaka ya humu kwa kujisifia tu hodari) ana michepuko mitatu kidogo(sifa tu wakati hata kutongoza muoga)
Wooyoo! Hili linaitwa jiwe gizani.
 
Kapo kamoja karembo kusema kweli mara nikakakuta k'koo kwa duka la mama yake, n'kajua la mume wake.

Badae tunaongea kanaanza story za chuo kakidhani mimi mlocal fulani hivi maans nilijiweka kishamba kumbe dgrii 2 nimezibeba. Badae kanagundua nazungumza mambo makubwa kakakoma kuhusu habari za chuo kuja kukauliza chuo gani kamesoma na kozi gani eti VETA MIKUMI KOZI YA FRONT OFFICER. Nilikaona kapuuzi sana, from that day kananisumbua ingawa nakapenda ila kichwani ni kajitu hakajiwezi.
siku hizi mnaangalia kichwani eeh sio misambwanda
 
Utadhan anataka kujing'ata,sauti sasa inabanwa hio mpaka mtu unajiuliza mbona mie mwanamke mwenzie nina sauti karibia ya tatu sijui ya nne
Huwa wananikera mana utakuta naona aibu mimi.
 
Kapo kamoja karembo kusema kweli mara nikakakuta k'koo kwa duka la mama yake, n'kajua la mume wake.

Badae tunaongea kanaanza story za chuo kakidhani mimi mlocal fulani hivi maans nilijiweka kishamba kumbe dgrii 2 nimezibeba. Badae kanagundua nazungumza mambo makubwa kakakoma kuhusu habari za chuo kuja kukauliza chuo gani kamesoma na kozi gani eti VETA MIKUMI KOZI YA FRONT OFFICER. Nilikaona kapuuzi sana, from that day kananisumbua ingawa nakapenda ila kichwani ni kajitu hakajiwezi.

Lakini Uchi si upo? Mambo ya kichwani kwake achana nayo[emoji3][emoji3]
 
Wala sishangai maana humu kila mkaka ana gari,keshapanda ndege, keshatoswa halafu aliyemtosa hajaolewa ni SINGLE MOTHER(mikaka ya humu kwa kujisifia tu hodari) ana michepuko mitatu kidogo(sifa tu wakati hata kutongoza muoga)
kuna mkaka humu alijisifiaga aina ya simu anayotumia...Mungu si athumani kumbe ni rafiki wa jirani yangu...
halafu simu aliyokua akiipondea hum ndo anayoitumia(usiniulize nilijuaje ID yake)...
 
Hahaha sipati picha siku uliyomtambua ulichekaje maana kukaa nyuma ya keyboard na kupondea vitu ni rahisi kweli kuliko reality
kuna mkaka humu alijisifiaga aina ya simu anayotumia...Mungu si athumani kumbe ni rafiki wa jirani yangu...
halafu simu aliyokua akiipondea hum ndo anayoitumia(usiniulize nilijuaje ID yake)...
 
Na wanaume wapo baadhi wana huo uongo, kuna mkaka alinitajia course ambayo haipo wala sijawai hisikia. Pale pale nikamshushua kuwa akajifunze kutongoza kabla hajaumbuka tena
 
Hao kaka ni wale wasiojitambua na wenye lengo la kuwachuna wanaume kwa vigezo vya kujifanya wasomi kumbe hawana lolote.
ha ha ha unamchuna mtu kwa mbinu za kichuo chuo ili aonekane bado mteke teke kumbe tayar kibib kigagula
 
Aisee alishushukaje siku hio

Back
Top Bottom