Wasichana na maswali ya utanioa lini mnaboa

Wasichana na maswali ya utanioa lini mnaboa

Sina la kuongezea bestito umenena vyema
ushauri wa bure mkuu.. If u just want to fool around date wanafunzi either o-level au ambao wako chuoni.. Hao ndo bado wako kwenye stage ya kufurahia maisha ya ujana na masomo.. Binti mwenye miaka 25 tayari anaangalia future ya kuwa na kwake na familia yake.. Sio tena muda wa kuchezewa.. So ni bora wanavyokuwa wawazi kusema watakacho kuliko kuzubaa na kisha kuja kulia baadae.. Usimtendee mtoto wa kike kile ambacho wewe hutopenda dada yako au binti yako aje kutendewa..!
 
Ila mabinti wengine wanaharaka mnooo.!!

1st date! 1sssttt date..!!!

Anakutupia guswali., 'UNAMPANGO GANI NA MIMI,!??'

hata kama ni njaa ya ndoa , hapana, slow down.
Cc. Khantwe
 
Last edited by a moderator:
aisee huyo girl wake anajielewa,uhusiano gani unaenda tu,kwani lengo la relationship ni ngono tu?

Si ndo hapo...kama anataka kusuuza rungu si aende buguruni tu
 
Utakuwa umpendi hata kidogo,kwani ungemsaidia na kuumgemwelimisha sio kumtangaza huku
Kila mtu anamapungufu yake
 
Kama hutaki kumuoa muache.

Kama unataka kumuoa mwambie unapanga kumuoa lini.

Kwa nini swali hili gumu?
 
Ila mabinti wengine wanaharaka mnooo.!!

1st date! 1sssttt date..!!!

Anakutupia guswali., 'UNAMPANGO GANI NA MIMI,!??'

hata kama ni njaa ya ndoa , hapana, slow down.
Cc. Khantwe

Hahahahaaa....lol kwanza naomba sababu ya kunicc la sivyo kitanuka hapa lol
 
Last edited by a moderator:
Ilo swali uwa silipendi mnoo...na mara zote uwa najibu tu"at right time baby"
 
Duh, kumbe tunapenda kula tu majukumu tunaogopa eegh, ukikubali kula sharti Na wewe uliwe kidogo....
 
Mie nakuuliza, tena na 'baby,are we ready to have,our first child together?!😠
 
Ndioo lazma akuulizee....utakitom....sha bure mpk lini...baadae uje umwage sio wife material. ?? Ngoja wajanja wakuwahi....wenzio washalia..unadatw mtu for years huoni future..anakuja mjanja alokua anamzimikia demu wako anamdate anaona anafaa anatangaza ndoa we unabaki kujiuliza...yani kaolewa na mtu mwingine kwelii??
 
Ukiona hivyo wamechoka kufanywa chombo cha starehe, umchezee weeee mwisho wa siku unamwambia hana sifa za kuwa mke. Sasa hivi kieleweke mapemaaaa hakuna ndoa chapa lapa.

Uchezewe umekuwa kitenesi? Kama hutaki kuchezewa Tulia njia sahihi za urafiki hadi uchumba, hakuna mwanaume atakaekuchezea. Tatizo we mwenyewe wataka kulalwa, baada ya miezi miwili unauliza ndoa..afu unalalama kuchezewa. Mie nasema, kama mdada kavua chupi na achezewe tu. Tena achezewe hadi atie akili.
 
Jaman naomba nieleweke, nimeshamwambia ntamuoa Ila kuna vitu namalizia na Anajua Hilo ilo,, tatizo ni hiyo speed ya utanioa lin
 
Jaman naomba nieleweke, nimeshamwambia ntamuoa Ila kuna vitu namalizia na Anajua Hilo ilo,, tatizo ni hiyo speed ya utanioa lin
Mkuu kwani ulimlazimisha kuvua chupi? Si alikufata gesti na akakuomba umvue? Sasa mbona analeta habari za kuzeeka, au dushe ndio linamzeesha? Piga mashine hadi akome....!
 
Back
Top Bottom