kimbuzi
Senior Member
- Jul 31, 2013
- 153
- 54
Salaam wanajamiiforums naamini mko poa, mimi leo nataka nishare kidogo experience yangu kidogo niliyonayo kwenye mambo ya mahusiano.
Naomba nianze na swali hivi wa dada siku hizi mmelogwa na ndoa? Yaani ukiwa na uhusiano na msichana anawaza ndoa tu! Hamtaki hata kufikiria baada ya matarumbeta na alingo, kinachofuata ni majukumu?
Mfano mimi nina girlfriend wangu juzi ilikuwa ni birthday yake ametimiza 25, lakini Kila nikichat nae au kuongea nae yeye ni ndoa tu.. " baby nazeeka utanioa lini jamani?"
Hadi kero sasa, wadada jaribuni kufikiria kuna maisha zaidi ya harusi.
Ni hayo tu