Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,683
- 126,453
kwani wewe lengo la kumtongoza lilikuwa lipi? kama haujajipanga si uwaachie wengine uone atavyowekwa ndani na mwenzio na akatengeneza familia nzuri tu
Amina.....
kwani wewe lengo la kumtongoza lilikuwa lipi? kama haujajipanga si uwaachie wengine uone atavyowekwa ndani na mwenzio na akatengeneza familia nzuri tu
Samahani....unaongelea harusi(sherehe) au ndoa (taasisi)??
mtafute sex partner mwenzako muache binti wa watu aolewe na waoaji
player!!!!?
Ndio tena umkute mwanaume mwingine asiejua mapenza likifika tu anapalamia kama mnazi wanaojua kufurahisha mwanamke ni wachache sana. mtu akisha fika anajikunguta uyoooo.
siku hizi ndoa wameshafanya ni basic needs, wako radhi washinde njaa ila ndoa ifungwe... so usishangae sana
kwi kwi kwi kweli eeeeeh? mmezdi kutuchakachua mno
hata mm sijamuelewa mamito inabidi atufafanulie hapa anachozungumizia
halafu mambo yake ya ndani kwanini anakuja kutapika hapa si amwambie huyo gelifrendi wake?
khaaaaaaaaaaaaa wanaume wasiokuwa jasiri bhana utawajua tu besitito
safi sana umeongea vyema dada amwache dada wa watu aisimpotezeee muda wake bure
Ushauri wa bure Mkuu.. If u just want to fool around date wanafunzi either O-Level au ambao wako chuoni.. Hao ndo bado wako kwenye stage ya kufurahia maisha ya ujana na masomo.. Binti mwenye miaka 25 tayari anaangalia future ya kuwa na kwake na familia yake.. Sio tena muda wa kuchezewa.. So ni bora wanavyokuwa wawazi kusema watakacho kuliko kuzubaa na kisha kuja kulia baadae.. Usimtendee mtoto wa kike kile ambacho wewe hutopenda dada yako au binti yako aje kutendewa..!
Salaam wanajamiiforums naamini mko poa, mimi leo nataka nishare kidogo experience yangu kidogo niliyonayo kwenye mambo ya mahusiano.
Naomba nianze na swali hivi wa dada siku hizi mmelogwa na ndoa? Yaani ukiwa na uhusiano na msichana anawaza ndoa tu! Hamtaki hata kufikiria baada ya matarumbeta na alingo, kinachofuata ni majukumu?
Mfano mimi nina girlfriend wangu juzi ilikuwa ni birthday yake ametimiza 25, lakini Kila nikichat nae au kuongea nae yeye ni ndoa tu.. " baby nazeeka utanioa lini jamani?"
Hadi kero sasa, wadada jaribuni kufikiria kuna maisha zaidi ya harusi.
Ni hayo tu
mmh hata nyie mnatuchakachua sana tu...