utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,671
Ni kwa neema tu hayo........ You must be sweet basi.
Hahaa niutoe wapi
Na wenye mapengo jee uwataki......:what:
minapenda madem ambao kwa mbali wanasura ya kiume
Unao lakini si ule wa mdomoni,,,,,,,,,
Kaka ile ndo ugonjwa wangu kwakweli
Mi sina binamu....
Binamu kwa kweli nitakugua nione mwenyewe....
Kaka kumbe Nawe mgonjwa eh...lakini sio unakaribia kuumiliki sasa?
Hahahaa binamu utaona mwenyewe
Kaka 2015 si ndio inakaribia??
Sawa binamu....
Tuanze na vitendea kazi, tupate sampuli kama tisa hivi, Mimi 3, wewe 3 na utafiti 3, halafu tupate eneo tulivu la kufanyia experiment shida itakuwa kwenye gharama tufanyeje?