Mi mwenyewe nikimuangalia mwanamke mwenye mwanya halafu awe muongeaji na mcheshi huwa najihisi kama nipo katikati ya umati wa watu ambao wanasubiri niwaongoze.Hata kama huyo mwanamke hatujuani akiniomba hela kama ninayo basi amepata.
Mbona utakua unashida kama hivyo.