mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 6,607
- 4,902
Umeanza uchokonoaji wa ndoa za watu, watu kama nyie hamna tofauti na waganga wa kienyeji mnataka kujulikana na kila mtu "eti unijuwi..." Sasa una nini la maana ikiwa kichwani tu yaonyesha u Mweupeee kama unga wa ngano unamung'uka kulingana na matakwa ya mkandaji
Sawa ila ujumbe si umeuelewa lakini?