Wasichana hawaniachi lakini mke wangu ameniacha!

Wasichana hawaniachi lakini mke wangu ameniacha!

Kwa hoja zako hizi anahaki ya kukuacha unafikiri kuzama chumvini ndo kmtunza na ku care mwanamke Nguvu za kitandani ni sehemu ndogo tu ya responsibility
Tatizo wanaume wengi maisha yetu ya ndoa tunayaendesha kwa uzoefu binafsi na story za vijiweni kiasi kwamba kuna ambao wana amini kama ataleta chakula nyumbani, ataacha fedha za shopping, atanunua kitanda kizuri, atasimamia show vizuri kitandani hapo ndio kila kitu katika ndoa kumbe kuna vitu vingine vidogo vidogo ambayo ni vya kawaida but ni vya muhimu.
 
wanaume mliopo humu JF, muwe mnajaribu kuwashauri hawa wavulana
 
Ennie wewe utakuwa ni single parent just like me. wewe utakuwa na uchungu wa kuachwa just like me. wewe utakuwa na mtoto mmoja umeachwa nae just like me. kwa nini tusianze tu mimi na wewe kwa upya?

Hapo nilipo bold umekosea best,mimi na mume wangu tulitenganishwa na kifo na sijaachiwa mtoto mmoja.
Hapo pa blue jibu ni hapana ila nashukuru.
Kila la kheri katika kuyasuluhisha na mkeo au kutafuta mbadala.
 
[/B][/COLOR]

I'm sorry dear. Yeah angalau najua i was wrong somewhere though hakuna m-lady hata mmoja ameniambia where i was wrong. naendelea kusoma nijifunze. Kwani watoto unao wangapi?
 
Tatizo wanaume wengi maisha yetu ya ndoa tunayaendesha kwa uzoefu binafsi na story za vijiweni kiasi kwamba kuna ambao wana amini kama ataleta chakula nyumbani, ataacha fedha za shopping, atanunua kitanda kizuri, atasimamia show vizuri kitandani hapo ndio kila kitu katika ndoa kumbe kuna vitu vingine vidogo vidogo ambayo ni vya kawaida but ni vya muhimu.

hivo vidogovidogo ndio vipi?
 
I'm sorry dear. Yeah angalau najua i was wrong somewhere though hakuna m-lady hata mmoja ameniambia where i was wrong. naendelea kusoma nijifunze. Kwani watoto unao wangapi?

Its ok.
Sidhani kama kuna wa kukwambia wapi ulikosea hapa zaidi ya huyo mkeo,yeye ndio anajua mliishi vipi miaka yote hiyo na hawezi kukurupuka tu akaondoka bila kuwa na lililomshinda kulivumilia. Ukitaka kulijua ongea nae utalifahamu tu.
 
Hivi kati ya christian ronaldo,

lionel messi na frank liberry.. Nani

anafaa kuwa mchezaji bora?
 
Umeumiaaa!!! Poleee. Mwenye ukweli wote ni mkeo. Labda pia ulilewa sifa bwasheee
 
mambo King'asti...! kila nikikuonaga najuaga ati wewe ni mhwanajeshi bana!!
hujakosea shosti, mie mjeda.
Huyu igp kijana akitoka i am next. Naomba mungu chama kiwe tofauti ili nifanye kazi profeshenale.
 
Last edited by a moderator:
hujakosea, mie mjeda.
Huyu igp kijana akitoka i am next. Naomba mungu chama kiwe tofauti ili nifanye kazi profeshenale.

wow!! you are so romantic!!

aisee kwa jinsi hii, hata ukinisingizia kosa, mi nakubali tu! hahahaaa!!

pretty+cop.jpg
 
Niko kikazi zaidi, sikusingizii. Ila nakuchinjia baharini with a smile hutaamini macho yako.

Hivi kuseduce wanawake na wow zako hizo ulisomea chuo gani? (nauliza tu manake hufikii matongozo ya paw aisee, mwisho wa reli hehehe)
wow!! you are so romantic!!

aisee kwa jinsi hii, hata ukinisingizia kosa, mi nakubali tu! hahahaaa!!

pretty+cop.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom