Wasichana hawaniachi lakini mke wangu ameniacha!

Wasichana hawaniachi lakini mke wangu ameniacha!

manina wallah!!!!mfyuuuuuuuuuuuuu
 
Nikukumbushe2 mwanamke anaweza kukusifia sanah eti tamu,mara umenifikisha kumbe hata bao lakusingizia hajalipata,kwahiyo kelele na kuambiwa kuwa mi tayar zisiwe zinakutisha,bado sanah rudi darasani kaka
 
Nikwambie ndg yangu ndoa ina heshima zake, mambo ya chumvini kwa mke wako sio heshima. Pia inategemea amekuacha kwa vigezo vipi we ukaona umaskini ndio hoja.. Chunguza zaidi. Kuna mdada alikuwa ananiomba ushauri eti mume wake anamsugua kila siku, na akiwa home anaweza pigwa hata mara tatu...sasa na wewe kama uliona mapenzi ndio kila kitu kwenye ndoa basi unahitaji maombezi...mwanamke anahitaji kusitiliwa, anahitaji upendo, anahitaji kuheshimiwa kama mke
 
Huo mwanzo tu,mpaka ukiachwa mara sita nawe akili itakuwa imeshakukaa sawa.
Tena alikuvumilia sana,miaka mitatu yote hiyo?
 
kosa lako Hujitambui..

mimi najitambua kuwa ni mwanaume rijali namwenye nia na uwezo wa kumfikisha mwanamke kileleni bila shida. sababu ya kukufikisha kileleni ninazo, nia ya kukufikisha kileleni ninayo na uwezo wa kukufikisha kileleni ninao sasa utasemaje sijitambui?
 
Nikwambie ndg yangu ndoa ina heshima zake, mambo ya chumvini kwa mke wako sio heshima. Pia inategemea amekuacha kwa vigezo vipi we ukaona umaskini ndio hoja.. Chunguza zaidi. Kuna mdada alikuwa ananiomba ushauri eti mume wake anamsugua kila siku, na akiwa home anaweza pigwa hata mara tatu...sasa na wewe kama uliona mapenzi ndio kila kitu kwenye ndoa basi unahitaji maombezi...mwanamke anahitaji kusitiliwa, anahitaji upendo, anahitaji kuheshimiwa kama mke

heshima nini? kufanya mapenzi ni kukoseana heshima? wewe utakuwa unahitaji maombi zaidi!
 
Nikukumbushe2 mwanamke anaweza kukusifia sanah eti tamu,mara umenifikisha kumbe hata bao lakusingizia hajalipata,kwahiyo kelele na kuambiwa kuwa mi tayar zisiwe zinakutisha,bado sanah rudi darasani kaka

hapana! namjua sana mwanamke akiwa anaanza kufika mahali!
 
Heheheheh huwajyi wanawake wewe.... Anaweza kugugumia wakati wa mgegedo ukajua unamridhisha kumbe moyoni mwake anawaza utamaliza saa ngapi......

Jikague

Halafu ndoa sio kusuguana tu, mwanamke harudhishwi kwa tendo peke yake
 
1.Huna gari ila wengine wana magari,unaweza usiwe maskini ila huna vitu ambavyo wengine wanavyo.

2.hujawahi kutoka nje ya ndoa ila ulikuwa unamridhisha?

3.Unaweza kuwa mzee wa chumvini na usijue kuchimba chumvi ukawa unasumbua tu.

4.Goli 3 siyo ticket ya kumridhisha mwanamke,hata goli mmoja anaweza kuridhika pia,na unaweza kupiga hata kumi na asiridhike

5.Wanawake wanaweza kukusifia kitandani,sasa mbona mkeo kakuacha,wasije wanakuchora bhana!

wewe ndio nimekuona wa maana maana angalau umenipa maswali ya kutafakari. Jina lako na 24hrs series vinaendana sana!
 
Mdomo wako utakua hauna uwezo tena wa kutest chumvi,yaani kwa uchache umelamba machumvi 6?
 
Achana nae mkuu hilo lingekuua na tamaa zake.
Atakuwa ameshawishiwa kwako anapoteza muda kuna mabuzi ya kuchuna kwa dada yake.
 
Huo mwanzo tu,mpaka ukiachwa mara sita nawe akili itakuwa imeshakukaa sawa.
Tena alikuvumilia sana,miaka mitatu yote hiyo?

Ennie wewe utakuwa ni single parent just like me. wewe utakuwa na uchungu wa kuachwa just like me. wewe utakuwa na mtoto mmoja umeachwa nae just like me. kwa nini tusianze tu mimi na wewe kwa upya?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom