SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 413
- 779
Namzungu best yangu kanitext ananiuliza which is the best dish for me to buy so i can watch movies and other good stuff
Kibongo bongo DSTV bado anawaburuza. Ila ni bora tu uweke fibre ulipie netflix au showmax kama unaweza maana movie nyingi za dstv unakuta ushazitazamaNamzungu best yangu kanitext ananiuliza which is the best dish for me to buy so i can watch movies and other good stuff
NAomba unielekezeKibongo bongo DSTV bado anawaburuza. Ila ni bora tu uweke fibre ulipie netflix au showmax kama unaweza maana movie nyingi za dstv unakuta ushazitazama
Kukuelekeza nini mkuu?NAomba unielekeze
Kwanini usiweke nina best yangu tu. Kwanini mpaka uweke mzungu?.Namzungu best yangu
Watu mna read between the lines. Nilikuwa sijaona hilo nenoKwanini isiwe nina best yangu tu. Kwanini mpaka uweke mzungu?.
Kuna tofauti kubwa, bora amesema kabisa.Kwanini isiwe nina best yangu tu. Kwanini mpaka uweke mzungu?.
Hizi mada zimeisha jadiliwa humu jukwaani several times usiwe mvivu wa ku search na unatujazia serva za JfNamzungu best yangu kanitext ananiuliza which is the best dish for me to buy so i can watch movies and other good stuff
Hiki kwangu ukiondoa chaneli zaAzam - burudani kwa wote.
Naomba tofauti yake mkuu nipate elimu.Kuna tofauti kubwa, bora amesema kabisa.
ataangalia Hello Mr rightStar time 😜
Ili mchagulie cha kingereza zaidi unajua mie natumia startimes amekataaKwanini usiweke nina best yangu tu. Kwanini mpaka uweke mzungu?.