Utapeli wa Kampuni ya Kismaty iliyomfungulia kesi Marioo

Mfichua maovutz

New Member
Oct 3, 2022
2
0
Habari wana jambi.

Mimi mfichua maovu naomba kuwaa taarifu wa Tanzania wote na wadau wa Sanaa kuwa Hii kampuni inayoitwa Kismaty media yenye maskani yake ARUSHA mtaa wa Sakina ambayo mkurugenzi wake mkuu Anaitwa Mary mollel iliendesha shindano maarufu kama MIS&MR UNIVERSITY NORTHEN ZONE mwaka 2021.

Ndugu zangu shindano ili lilijumuisha vyuo Mbali mbali pale jijini Arusha na mchujo ulifanyika kuanzia vyuoni na wakapatikana Vijana kwa ajili ya kwenda Kuchuana katika kinyanganyiro ikooo.

Ndugu zangu ni kweli Mario ndo alikua Theme kubwa katika shindano ilo ambalo mgeni rasmi alikua ndugu waziri wa maliasili na utalii aliyewakirishwa na katibu mkuu wake.

Sasa Ndugu zangu nisiwachoshe ishu ni kwamba washindi walioibuka kwenye shindano ilo walikua wanaume 3 na wanawake 3 na baada ya fainali mshindi wa kiume alitoka chuo cha ufundi Arusha kwa jina la Abdul Simba wakati mwanamke alikua Janice kutoka chuo cha Utumishi.
wengine walikua ni kenty kutoka AIA, keithlin kutoka sila, juma pius kutoka Sila na mwingine aliitwa HOPE kutoka AIA.

Wahindi hawa waliahidiwa tsh milion 1 kila mtu na aliyetoa pesa izi ni wizara ya maliasili na utalii.

Ndugu zangu pesa haikutoka mwaka 2021, ikaja kutoka July August 2022 na pesa ililipwa kwa mfumo ufatao,

Wizara ilimtafuta Mary wa KISMATY ili atume account namba za washindi wale 6 ili wapewe zawadi zao (nampongeza waziri kwa kutimiza Ahadi yake) lakini huyu Mama alivyokua mwizi na Tapeli alifanya hivi.

Aliwatafuta washiriki wa 3 ambao ni kenty, keithlin, na HOPE na akawaambia wamtumie akaunt namba zao na kweli wakafanya ivo ila hakuwatafuta hawa wa 3 wengine waliobaki badala yake Akafoji majina na account namba za hawa watatu na akaziwasilisha wizarani kwa ajili ya malipo(yani aliidanganya wizara kwa ku submit forgery).

Ndugu zangu kwa kifupi kati ya Mil 6 za washiriki walizotakiwa kupewa mil 1 kila mtu yeye alitokomea na mil 3 akaenda KENYA Kujificha.

Baada ya hawa vijana watatu waliotapeliwa kuona wenzao wamelipwa afu wao hawajalipwa wakafanya mawasiliano na Makao makuu ya wizara kuulizia kama malipo yamefanyika kwa awamu lakini wizara ilitoa majibu kua
Mbona pesa yote imelipwa na tumelipa kutokana na majina na account zilizotumwa na mkurugenz wa kampuni (Marry mollel)

Ndugu zangu wizara ilihaidi kua ingemtafuta uyu mtu na kumuhoji lakini kwa bahati mbaya uyu mamaa tayari alikua ashaenda kujificha kenya na alitupa namba zake zote.

Ndugu zangu uyu mama ni tapeli na naomba tusaidiane kushare ili awalipe wale vijana haki zao kama ambavyo yeye anadai kwa mario.

Kampuni na watu kama hawa ndio wanachangia kudidimiza sanaa na vipaji chipukizi.

Kesi na madai haya wizara ya maliasili na utalii inafahamu vizuri.


Tapeli kismaty
Tapeli Marry mollel
Tapeli kismaty
Tapeli kismaty
Mwizi kismaty
 
Back
Top Bottom