Washikaji tafuteni marafiki wa kike

Washikaji tafuteni marafiki wa kike

We unamaanisha msichana ambaye anafanya kazi au biashara, na wale ambao wapo tu home kwao?
Kwa uzoefu wangu ni wasichana/wanawake wachache sana ambao ukiwa rafiki yake atakusaidia katika masuala ya fedha.
mkuu,Mimi naomba nitoe ushuhuda kusapot hoja yako,nipo songea ndiko nakofanyia kaz (41 kj-ruhuwiko),nina rafiki yangu wa kike yy ni mwalim shule ya msingi iramba huko mkoani singida,ni rafiki yangu sana na tumeshibana sana,huwezi amini kampani na misaada tunavyosaidiana mmoja wetu akikwama huyu binti husimama na mm kuliko rafiki yangu wa kiume mwenye hadhi ya mkuu wa mkoa au waziri,nilipata matatzo kdgo kazin halaf nyumbani kukawa na shida iliyohtaj uwekezaj wa nataka sana kuisolve,aliingia bank akakopa 6M akanitumia yote,ishatokea shida flan pia kwao,yy akiwa na hali mbaya kifedha kipind hcho,nikamwambia tulia,nilizama bank na kuomba ruhusa job,nikifunga safar had kwa wazaz wake bariadi huko na nikaisimamia ile shida had tukaimaliza,tulizungushwa sana mahakamani na nyumba ya wazaz wake tukaiokoa kupigwa mnada,tunashibana sana na huyu rafk yng madam D****e
 
asante,inawezekana hata ww ukapata rafik wa jinsia tofauti,mkaheshimiana,mkapendana na mkasaidiana sana,mkawa tayar kujitoa kwa lolote na msiingie kwny mapenz,hili sisi tumeliweza na tunafrahia sana sanaaaa askwambie mtu
aisee sijawah pata rafiki asintongoze

nilipataga mmoja tu chuo ila alikua ana hasira sana alafu mimi nilimjali kwa hiyo ili nisimuuzi nikakata mawasiliano baada ya chuo.japo tulikua friends bila mtongozo for 2 years kuanzia mwaka wa pili
ila ana hasira balaa
tangu hapo sijapata tena
 
Wazee, Jitahidi Uwe na Japo MARAFIKI WA KIKE kadhaa ambao mtashibana na Kusaidiana bila Mahusiano ya Kimapenzi.
Utakuwa umesolve mambo mengi unayosumbuka nayo.[emoji276][emoji276][emoji276]
Marafiki wa kike wengi hawaaminiki unampa namba yako ya simu Leo kesho anaanza kukupeleleza unamke, unawatoto,unafanya kazi gani? Mara anaanza kuomba elfu 10 anashida,Siku 2tu anaanza kukupa shida zake, Mimi siwaamini marafiki wa kike vibomu vingi mno
 
Kwangu ni sawa na kutembea na muwa km fimbo........
 
Back
Top Bottom