Washanila kichwa tayari

Upendo wangu umehamia kwa baby wangu mpya yule niliyekuonesha ile siku...unataka nikupende wewe unanipa nini we mzee?
Mimi nakupa upendo, amani, furaha na hela nyingi sana. Vingine nawaachia watenda dhambi
 
Iko wanachonipa watenda dhambi ndio nakipenda sasa....labda kwenye hela hapo unaeza kunirudisha kidogo nikupende
 
Unaweza tumia nida ya mtu ili usifungiwe, alafu ukipata ya kwako unabadili taarifa,Mwishoni mwa mwaka jana nilitumia nida ya dogo kusajil laini yangu,
Nida yangu ilivyotoka nikaenda na dogo juzi ofisi za halotel nikabadili taarifa nikaweka za kwangu,

Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh sawa ila huku kitaa wamepita wanatangaza sahivi kwamba kesho twende tukapate namba saa 6 am-6 pm... Nikifeli ntatumia njia yako boss.
 
wakuu hili suala NiDA tujaribu kufuatilia vizur kama uliwahi jiandikisha awali jaribu kufuatilia taarifa yako ulipojisajiri mwanzo, Mimi nilijisajiri Dar mwaka 2012 lakini sikupata kitambulisho, hivyo mwaka jana nikajisajiri mkoa tofauti lakini mpaka mwaka unaisha sipati namba wala kitambulisho, mambo yangu mengi yalikwama sababu ya hizo nba mpaka mwaka jana mwishoni nilipata namba ya simu nikapiga makao makuu wakaniambia kitambulisho changu kilishatoka mwaka 2012 niende nilikojisajilia ama wilayani, nilienda nikakikuta, ajabu ni kwamba nilikuta vitambulisho zaidi ya 2000 vya mwaka 2012 vipo pale, maana yake wenyewe hawatambui kama vilitoka ama hawajaenda kuchukua vitambulisho vyao. kwa hiyo inawezekana unahangaika kumbe kitambulisho kilitoka na kikishatoka ukijisajili tena huwezi kupata zaidi utasumbuliwa tu.
 
Shukrani kwa maelezo
 
Mkuu hilo ni tatizo lako kila wakati unaambiwa usitumie Tecno unaona sasa madhara yake dude lina 3G kubwa hatari
Acha dharau we boya.... Hii simu nimeinunua hata kabla hujawaza kuwa na smart na bei niliyoinunulia sidhani kama hiyo simu yako inaingia.
 
Back
Top Bottom