Na ile radio yetu inavyoshoboka,
Radio Gani Mwanangu, Cloudz Au?
Na ile radio yetu inavyoshoboka,
unachopinga nini? Waliopo hapo wengi wao ni wauza unga,majangili na wasaliti wa mabadiliko.Watz si wajinga kiasi cha kutofahamu usanii unaofanywa na hawa wezi wa raslimali zetu.Ulishawahi ona wapi uzalendo wa mtu unagharimiwa na watu wengine? Ni aibu kwao na kwa waliowatuma!
Juma Nature alikuwepo.
Wanahubiri Amani Huku Wameficha Mapanga
Wana jamvi leo nasikia kuna wasanii wanaungana na ccm kukana maoni ya wananchi ambao ndio wanunuaji wa kazi zao,lakini pia wasanii wetu miaka nenda wanalalamikia serikali kutoweza kuwasaidia kazi zao kuibwa na kudhurumiwa na mapromota na wasambazaji,leo hii wanaungana na wale wale wanao walalamikia;wasanii makini na weledi wanatakiwa kujifunza kwa umakini sana katika kufanya maamuzi ni upande gani waungane nao
Nikki wa ii kaelezea vizuri sn kuhusu uzalendo kwaivyo sio wote hawajui uzalendo na kaongea kw niaba ya wasanii ikumbukwe huyu ana master yk toka UDSMFrom what i see ukiwauliza maana ya uzalendo hawajui kabisa, na kwamini waliimba pia hawajui utasikia mi nilimbiwa na mchizi wangu diamond tupige hii ngoma nikaingia studio
Kuanzia saa 11 mpaka muda kule Dodoma kuna kusanyiko la wasanii waliojifika kwa jina la UZALENDO.
Vijana hao na wengine ukiwaangalia kwa umakini unawaona kabisa wameenda pale kwa maslahi ya matumbo yao. Sura zao na matendo yao hauakisi kabisa Uzalendo huu wanaousema. Ni vijana waliandaliwa kwa maslahi ya wanasiasa.
Tanzania bado tuna safari ndefu kuelekea Uzalendo. Tanzania hatuna vijana Wazalendo. Pengine wale ambao hawajafika katika viwanja hivyo huko Dodoma ndio wazalendo waliobakia.. kwa sasa.
Vijana tusipoacha kutumika na wanasiasa nchi hii haitakaa iendelee kabisa. Vijana tujitambue, tuache kutumika. Kwa mtindo wa aina hii UZALENDO ndoto za alinacha..
hapana alikuwepo msanii kikwete na wenzakeSugu vipi, hakuonesha uzalendo?
Single hizo zishachuja nowerdays hata waskilizaji wameishs baada ya kujua kiwanda cha unafiki majungu na umbea cha pale Ufipa...ha ha kwenye ubwabwa wa Nassari mlikuwepo ila kwenye msiba wa mjumbe wa kamati kuu yenu mkala konaaa...Chanaga united
Huyo aliishapotea kitambo anachofanya hapo ni KUGANGA NJAA tu nakumbuka wakati ule alijifanya kushindana na JIDE kufanya shoo siku moja na siku ambayo JIDE alikuwa anazindua album yake kilichomkuta nafikiri hawezi kukisahau.simpendi huyo bwana mdogo mwanafatma amenichafua sanaaa leo