Mimi siwezi sambaza upumbavu huu. wimbo wa Taifa upo.
JK sijui kakosa kazi, yaani bhana, TZ hovyo sana
tz hii naona wasanii wengne bado saaaana kujitambuwa.
Tamasha la clous fm tu?, ninyi tuambieni wizi wa mziki kwenye mitandao mmedhibiti vipi,na lini mtaacha kuwayumia wasanii kisha mnawatelekeza!. Mnaib tatizoa hela za wananchi kwenda kugawana posho,timu ya taifa hoi,ni miaka 52 ya uhuru hakuna sheria ya usalama wa muziki.kama kweli mnania ya kuwainua wasanii nataraji tungekuwa na chuo kikuu cha mziki,michezo na shule za michezo zenye kuwapa vijana ajira mujarafu ya kukitegemea.Leo kutwa mnahangaika na mambo manyonge.ccm imekosa weledi hili niTafsiri ya pro-Chadema ili uwe mzalendo lazima uwasifie Mbowe na Dr.Slaa.
Acha kuzunguka kwa mams yake zitto ,eleza haoa watu wajue mlivyo wahuni Mzee Moris Nyunyusa na familia yake mmemlipa nini?, familia ya Mbaraka mwinshehe mmeilipa nini,zaidi ya kuwatumia na mkifanikiwa mnawatupa! ,ndio kazi yenu kuzunguka kuhonga wanachama ili wavihame vyama mkipata kalaghabaho! .tueleze serikali yako hao wazee na wale wa juwata jazz wamenufaika nini na nimbo za TANU&CCM walizotunga na kuziimba miaka mingi?, iko wapi tunu yao ili wajivunie kipaji chao?, mmewaacha wafie vilabuniNyie ndiyo mtakuwa na laana ya ubaguzi kwani Mama yake mmemlipa nini.
tz hii naona wasanii wengne bado saaaana kujitambuwa.
Asifie jua............jaza ndugu.
Kuanzia saa 11 mpaka muda kule Dodoma kuna kusanyiko la wasanii waliojifika kwa jina la UZALENDO.
Vijana hao na wengine ukiwaangalia kwa umakini unawaona kabisa wameenda pale kwa maslahi ya matumbo yao. Sura zao na matendo yao hauakisi kabisa Uzalendo huu wanaousema. Ni vijana waliandaliwa kwa maslahi ya wanasiasa.
Tanzania bado tuna safari ndefu kuelekea Uzalendo. Tanzania hatuna vijana Wazalendo. Pengine wale ambao hawajafika katika viwanja hivyo huko Dodoma ndio wazalendo waliobakia.. kwa sasa.
Vijana tusipoacha kutumika na wanasiasa nchi hii haitakaa iendelee kabisa. Vijana tujitambue, tuache kutumika. Kwa mtindo wa aina hii UZALENDO ndoto za alinacha..
Tamasha la clous fm tu?, ninyi tuambieni wizi wa mziki kwenye mitandao mmedhibiti vipi,na lini mtaacha kuwayumia wasanii kisha mnawatelekeza!. Mnaib tatizoa hela za wananchi kwenda kugawana posho,timu ya taifa hoi,ni miaka 52 ya uhuru hakuna sheria ya usalama wa muziki.kama kweli mnania ya kuwainua wasanii nataraji tungekuwa na chuo kikuu cha mziki,michezo na shule za michezo zenye kuwapa vijana ajira mujarafu ya kukitegemea.Leo kutwa mnahangaika na mambo manyonge.ccm imekosa weledi hili ni
1. Wanaoua tembo ndo wageni rasmi.
2. Wanaofanya biashara ya unga (madawa ya kulevya) ndo wageni rasmi na baadhi ndo wanaimba.
3. Wanaohujumu watanzania wenzao kwa wizi wa rasilimali wapo hapo.
4. Mafisadi ndo wameshonana hapo
ZAIDI NAMUONA ZZK.HUYO NDO MZALENDO AU!?Au ndo wamekuja kuwaambia wawe wazalendo?
Uzalendo uko Ufipa, wanakoikopa saccos na kwenda kununua majumba Dubai na London.
Kakosekana tu yule Padri Mkwapua wake za watu na yule Dj anayekula ruzuku zote za chadema kwa mlango wa kuwa alikikopesha chama
Ila ni sawa kabisa kutumika na wachumia tumbo wa Chadema na Ukawa yao si etiii aseeee....ingekuwa ndio shughuli ya Ukawa basi ungewapamba kwa kila aina ya Sifa...ha ha mchumia tumbo mkubwa weeeee
uharo kama huu wako ningekuwa nape ningekulipa jero badala ya buk 7!