Wasanii wetu na 'Uzalendo wa maslahi'

Wasanii wetu na 'Uzalendo wa maslahi'

Eberi M. Manya

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
743
Reaction score
280
Kuanzia saa 11 mpaka muda kule Dodoma kuna kusanyiko la wasanii waliojifika kwa jina la UZALENDO.

Vijana hao na wengine ukiwaangalia kwa umakini unawaona kabisa wameenda pale kwa maslahi ya matumbo yao. Sura zao na matendo yao hauakisi kabisa Uzalendo huu wanaousema. Ni vijana waliandaliwa kwa maslahi ya wanasiasa.

Tanzania bado tuna safari ndefu kuelekea Uzalendo. Tanzania hatuna vijana Wazalendo. Pengine wale ambao hawajafika katika viwanja hivyo huko Dodoma ndio wazalendo waliobakia.. kwa sasa.

Vijana tusipoacha kutumika na wanasiasa nchi hii haitakaa iendelee kabisa. Vijana tujitambue, tuache kutumika. Kwa mtindo wa aina hii UZALENDO ndoto za alinacha..
 
1. Wanaoua tembo ndo wageni rasmi.
2. Wanaofanya biashara ya unga (madawa ya kulevya) ndo wageni rasmi na baadhi ndo wanaimba.
3. Wanaohujumu watanzania wenzao kwa wizi wa rasilimali wapo hapo.
4. Mafisadi ndo wameshonana hapo
ZAIDI NAMUONA ZZK.H UYO NDO MZALENDO AU!?Au ndo wamekuja kuwaambia wawe wazalendo?
 
Njaa, hawa ni watu hatari sana, traitors! Wengi ni failure academically, the only way out ni kukata viuno hadharani, wakati viuno hukatwa faragha! Kujikomba tu kwa JK!
 
1. Wanaoua tembo ndo wageni rasmi.
2. Wanaofanya biashara ya unga (madawa ya kulevya) ndo wageni rasmi na baadhi ndo wanaimba.
3. Wanaohujumu watanzania wenzao kwa wizi wa rasilimali wapo hapo.
4. Mafisadi ndo wameshonana hapo
ZAIDI NAMUONA ZZK.HUYO NDO MZALENDO AU!?Au ndo wamekuja kuwaambia wawe wazalendo?
 
Uzalendo wa kukusanya pesa pspf na nssf. Poor tz unaliwa na wenyemeno. Yani watu wanakaa kutafuta njia ya kufisadi na kula bila jasho!!!
Eti uzalendo!! ungeanzi kwa ikulu kutoiba bil. 200.
 
Mods tusaidie kuunganisha hii.
Asante Paw
 
Last edited by a moderator:
1. Wanaoua tembo ndo wageni rasmi.
2. Wanaofanya biashara ya unga (madawa ya kulevya) ndo wageni rasmi na baadhi ndo wanaimba.
3. Wanaohujumu watanzania wenzao kwa wizi wa rasilimali wapo hapo.
4. Mafisadi ndo wameshonana hapo
ZAIDI NAMUONA ZZK.HUYO NDO MZALENDO AU!?Au ndo wamekuja kuwaambia wawe wazalendo?

5. Wanaosaliti maoni ya watanzania kwenye rasimu ndio leo wamekuwa wazalendo.
6. Walioiba bil. 200 bank kuu kupitia ikulu ndio wazalendo.
7. Waliowauzia wachina vitalu vya gass kwa bei poa na kuokoa wauzaunga ndio leo wamekuwa wazalendo.
Poor Tanzania
 
Wana jamvi leo nasikia kuna wasanii wanaungana na ccm kukana maoni ya wananchi ambao ndio wanunuaji wa kazi zao,lakini pia wasanii wetu miaka nenda wanalalamikia serikali kutoweza kuwasaidia kazi zao kuibwa na kudhurumiwa na mapromota na wasambazaji,leo hii wanaungana na wale wale wanao walalamikia;wasanii makini na weledi wanatakiwa kujifunza kwa umakini sana katika kufanya maamuzi ni upande gani waungane nao
 
hasa nick wa pili na weusi,diamond,uwoya, recho,ray na wanaf.ki wengingie wengi tu.
 
Tanzania kwa sasa inarudishwa nyuma na vijana, na wala si wazee hata kidogo. Ni kwa bahati mbaya sana hatma ya nchi hii ipo mikononi mwa vijana wasiojitambua, wengi wao hawajitambui, wanapelekwapelekwa tu na upepok wa wanasiasa wenye meno wanaotafuna nchi hii. Ama kweli usipoikataa ujinga huwezi kuikataa CCM.
 
Back
Top Bottom