Wasanii wetu na 'Uzalendo wa maslahi'

Wasanii wetu na 'Uzalendo wa maslahi'

Kama ni uzalendo kwa nchi hapo sawa.
... ila kama ni uzalendo kwa mafisadi na wauza unga hapana !
 
Kuanzia saa 11 mpaka muda kule Dodoma kuna kusanyiko la wasanii waliojifika kwa jina la UZALENDO.

Vijana hao na wengine ukiwaangalia kwa umakini unawaona kabisa wameenda pale kwa maslahi ya matumbo yao. Sura zao na matendo yao hauakisi kabisa Uzalendo huu wanaousema. Ni vijana waliandaliwa kwa maslahi ya wanasiasa.

Tanzania bado tuna safari ndefu kuelekea Uzalendo. Tanzania hatuna vijana Wazalendo. Pengine wale ambao hawajafika katika viwanja hivyo huko Dodoma ndio wazalendo waliobakia.. kwa sasa.

Vijana tusipoacha kutumika na wanasiasa nchi hii haitakaa iendelee kabisa. Vijana tujitambue, tuache kutumika. Kwa mtindo wa aina hii UZALENDO ndoto za alinacha..


Siku zote nashangaa kama awamu hii inaweza kufanya lilojema na la kizalendo kwa taifa letu. Kila kitu ni maslahi, hawa wametayarishwa. Uzalendo hauhitaji matayarisho, bali ni intrinsic
 
From what i see ukiwauliza maana ya uzalendo hawajui kabisa, na kwamini waliimba pia hawajui utasikia mi nilimbiwa na mchizi wangu diamond tupige hii ngoma nikaingia studio
 
Uzalendo uko Ufipa, wanakoikopa saccos na kwenda kununua majumba Dubai na London.
 
Unafiki utaitesa sana nchi yetu....... utashangaa yatazunguka nchi nzima wakilamba zile bil200 za escrow zilizopigwa na ccm
 
Alafu Ruge alishaiteka serikali akili Yani akitaka kupiga hela Huandaa kamsemo flan flan hivi mfano mwaka jana aliandaa kamsemo kanasema TWENZETU DODOMA wakina Pinda na viongozi kibao wakaenda, juzi tena kandaa kamsemo kanasema kuwa KUWA MZALENDO SAMBAZA UPENDO hivyo hivyo kwenye miaka 50 ya muungano akapiga hela, leo tena kandaa kamsema kanaitwa TANZANIA NAIAMINIA kapiga hela, yani huyu jamaa serikali kaiweka mfukoni mwake!
 
WALE WASANII nimewadharau sana aisee ! HUWEZI KUTUMIKA KWA JAMBO AMBALO HULIFAHAMU !
 
tz hii naona wasanii wengne bado saaaana kujitambuwa.

Bado wasanii hawa hawajitambui,najua wote wanatoka vijijini ,elimu,afya,kilimo,barabara,maji,yoote hovyo,sera za mziki hapa za ccm hovyo,wana jf tunashuhudia wasaniiwengi tu wanaojiita wspenzi wa magamba leo wako wapi,ngija niwatajie,mbaraka mwishe ,Mzee moris nyunyusa ambaye radio tanzania imekuwa ikitumia nyimbo zake za ala kwrnye taarifa,waimbaji walioounda juwata jazz wako wspi? Familia zao zinaishi kwenye Lindi la umaskini,
hata walioshiriki kwenye kampeni za kikwete wako wapi?.
Mwanafalsafa mmoja anasema" reasoning you can achieve knowledge" wasanii wetu wanatumika kama ngazi,wangejua kuwa wanaumizwa!
Lakini pia naweza sema zile bil200 zimeanza kazi yake, wasanii pigeni zeze msiojua mlio wake!
 
Tamasha gan la uzalendo limegawanya wasanii wasanii wa clouds peke yao ?na wanaccm peke yao ? Hilo n tamasha la majungu kugawanya tu watu
 
Hivi msanii awe mzalendo lazima huwe mfuasi wa Chadema.
wewe unaona vema mnavyowaumiza wasanii kwa kuwatwisha laana za wzenu kwa watoto wao?, tuambie mzee Nyunyusa na familia yake mmemlipa nini? Si awanateseka polini huku mkivuta matumbo yenu?
 
wewe unaona vema mnavyowaumiza wasanii kwa kuwatwisha laana za wzenu kwa watoto wao?, tuambie mzee Nyunyusa na familia yake mmemlipa nini? Si awanateseka polini huku mkivuta matumbo yenu?
Nyie ndiyo mtakuwa na laana ya ubaguzi kwani Mama yake mmemlipa nini.
 
Hivi msanii awe mzalendo lazima huwe mfuasi wa Chadema.

1. Wanaoua tembo ndo wageni rasmi.
2. Wanaofanya biashara ya unga (madawa ya
kulevya) ndo wageni rasmi na baadhi ndo
wanaimba.
3. Wanaohujumu watanzania wenzao kwa wizi
wa rasilimali wapo hapo.
4. Mafisadi ndo wameshonana hapo

5. Wanaosaliti maoni ya watanzania kwenye
rasimu ndio leo wamekuwa wazalendo.
6. Walioiba bil. 200 bank kuu kupitia ikulu
ndio wazalendo.
7. Waliowauzia wachina vitalu vya gass kwa bei
poa na kuokoa wauzaunga ndio leo wamekuwa
wazalendo.
Poor Tanzania
 
Back
Top Bottom