Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,662
Bro mimi sina kinyongo na utendaji kazi wa raisi lkn nachukia sana namna anavyojiaminisha kuwa yuko right kwa kila jambo, nahisi Tanzania inafuata nyendo za Korea Kaskazini kwa kasi sana. Anyway japo niko mbali siwezi kukubali upuuzi wa kuminya democrasia kwa kisingizio eti cha kuleta meandeleo. Mwisho sijawahi kununua kazi za mziki wa hawa wanafiki tangu TX Moshi William afarikiBahasha za kaki zimewasababisha wajitoe aibu.