Wasanii waungana kupinga maandamano ya UKUTA

Wasanii wa muziki na filamu wameungana kupinga maandamano ya UKUTA wamesema wanawaomba wananchi wasifanye maandamano hayo kwa kuwa watafungwa
Aidha wamwaasa viongozi wa CHADEMA kuacha maandamnao hayo na kutafuta njia nyingine kwa kuwa wao pia wanafamilia zao zinaowategemea.

Pia wamesema maandamano hayo yatasababisha shughuli za kijamii na biashara kusimama na pia wazazi wataumia kuona watoto wao wameumizwa wakiwa kwenye maandamano hayo.

​

Kumbe mnasema maccm na si wasanii, jingalao
 
Njaa kitu kibaya sana..huondoa na kudhalilisha utu wa mtu
 
Wasanii wa muziki na filamu wameungana kupinga maandamano ya UKUTA wamesema wanawaomba wananchi wasifanye maandamano hayo kwa kuwa watafungwa
Aidha wamwaasa viongozi wa CHADEMA kuacha maandamnao hayo na kutafuta njia nyingine kwa kuwa wao pia wanafamilia zao zinaowategemea.

Pia wamesema maandamano hayo yatasababisha shughuli za kijamii na biashara kusimama na pia wazazi wataumia kuona watoto wao wameumizwa wakiwa kwenye maandamano hayo.

​

Kumbe mnasema maccm na si wasanii, jingalao
 
Hao hata maelezo yao yaonyesha ni makada uchwara wa chama chakavu upeo wao wa kuelewa mambo ni mdogo mno wangoje tu kuja kizungusha viuno kwenya kampeni za mafisiemu.
 
Mwezio ilibidi tukahifadhiwe na mibibi mbondeni kupunguza stress. Siku zote niliwaambia rafiki zangu kipindi niko 100% CCM kuwa uongozi una karama zake, Magufuli ni mchapa kazi lkn hana hobby ya uongozi. Eti hakuna vikao vya ndani!!!! Lol

Mimi kinachonikera zaidi ni watu wote kuwa blind followers....Yani sijui utashi wao wameweka wapi....Viongozi wote sasa hivi wanaendeshwa tu
 
Kuna mmoja naskia kasema na bilcanas watakuwa hawaendi....hawa wasanii ni shinda
 
Hawa wanachama wa CCM wanaongea nao waonekane njaa zinawasumbua baada ya bongo movies kufa hawana cha kufanya zaidi ya kuendelea kujipendekeza.
 
Back
Top Bottom