Wasanii waungana kupinga maandamano ya UKUTA

Wasanii waungana kupinga maandamano ya UKUTA

Wasanii wa muziki na filamu wameungana kupinga maandamano ya UKUTA wamesema wanawaomba wananchi wasifanye maandamano hayo kwa kuwa watafungwa
Aidha wamwaasa viongozi wa CHADEMA kuacha maandamnao hayo na kutafuta njia nyingine kwa kuwa wao pia wanafamilia zao zinaowategemea.

Pia wamesema maandamano hayo yatasababisha shughuli za kijamii na biashara kusimama na pia wazazi wataumia kuona watoto wao wameumizwa wakiwa kwenye maandamano hayo.

​

Njaaaaa inawasumbua..
 
Watupisheeeeeee hukoo..njaa mbaya Leo ugali Na Nyama wanapata Maana soko Hakuna tena la Filamu wakalee wapi jamanii
 
Kwa jinsi unavyotumika na Mbowe unadhani wote wako hivyo?
Mwaka huu Hakuna Buku 7 haaa haa we jifariji tuu..Basi Mbowe kibokoo anakupa Watu wote hawa.kwenye Social media... halafu Eti huyo huyo halipi pango..very interesting..interested
 
Uzuri wa JF Ni kwamba wapinzani Wanarun the Show.. Ona comment za Watu ndo Unajua ccccm hawana chao. Wanaforce kupendwaa
 
Duuu huu Uzi akiupitia Jppm au nchembaa lazima tumbo la kukataa lianze like..Duuu kumbe tunachukiwa ivi Na porojoooo zoooooote hizi Hapa lazima Simu zipigwe hapa kama nakuona Lemutuz unavyopitia huu. Uzi Na kujifanya huoni mpondo huyu..Yaani Mmejidharaurishaa hamupendwiiii ndo mana Hata Kazi zenu hazina tena mvutooo..ona mlivyochokaaa..Haaa haaa haaq
 
Nalala jamani Hii SAA 01:36 Nipo macho kwa jili ya Hii thread.. Ni Tamuuu balaaa..message sent and delivered to Lemutuz Na mtumbo wakeeee ...lazima apeleke habari..Jamani.eeeh Tumebugiiiii....
.Tunapondwaaa tu..bye till 2morrow
 
Heeeee hahahaa wasanii sio ati na hadija kopa si ndo huyu mwimbaji wa ccm kule tot au nakosea?hapa ukuta kwanza mipasho baadae
 
Back
Top Bottom