wote hao wamelipwa hapo,, hakuna kingineMganga njaaa huyu
Wasanii wa muziki na filamu wameungana kupinga maandamano ya UKUTA wamesema wanawaomba wananchi wasifanye maandamano hayo kwa kuwa watafungwa
Aidha wamwaasa viongozi wa CHADEMA kuacha maandamnao hayo na kutafuta njia nyingine kwa kuwa wao pia wanafamilia zao zinaowategemea.
Pia wamesema maandamano hayo yatasababisha shughuli za kijamii na biashara kusimama na pia wazazi wataumia kuona watoto wao wameumizwa wakiwa kwenye maandamano hayo.
Aksante , na Mimi Leo nimeelewa hiyo kauli!!! Ha ha haKumbe mtu anapokuambia "acha usanii" ndio anamaanisha usiwe kama hawaa??
Hahahaha atapewa, kaanza kucheza na media na matamkoAko kalikojiweka kimbelembele kalijifanya kushangaa eti kwanini hakakuteuliwa ukuu wa wilaya!
Kumbe mtu anapokuambia "acha usanii" ndio anamaanisha usiwe kama hawaa??
hiyo ni binafsi yakoBinafsi najua hakuna kitu kinaitwa UKUTA na hakuna maandamano yoyote yaatafanyika.
Ila kwa hawa wahuni sijui wasanii huwa wananitia kichefuchefu sana..
watasababisha niandamane mwenyewe maana najua Mbowe ni mzee wa kubadili gia angani