Wasanii wasioiunga mkono CCM kukosa airtime Clouds

wanatamani

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
415
Reaction score
145
Nimepata taarifa kuwa kuna amri imetolewa kwa wasanii kumsuport mgombea wa CCM na CCM kiujumla, na atakaye kaidi hilo basi asahau kuwekwa hewani na chanel hiyo. Sina hakika maana mi si mmoja wa wasanii na wala sijapokea amri hiyo. Ila kwa haraka haraka nimejaribu kupitia account za wasanii wengi na kuanza kuamini hilo . Hapa chini nimeambatanisha baadhi ya screen short toka kwenye account za wasanii.
ImageUploadedByJamiiForums1440002051.656027.jpg ImageUploadedByJamiiForums1440002074.182941.jpg ImageUploadedByJamiiForums1440002102.172721.jpg ImageUploadedByJamiiForums1440002176.424326.jpg
 
Hao wasanii wanaoisupport CCM wanafanya hivyo kwasababu ya njaa na ulimbukeni tu,na ni wazi kuwa moyoni wanaipenda na kuiamini UKAWA kuliko CCM ya mafisadi.hata hivyo wapo wachache sana na Wananchi wengine wote Tanzania TUTAMPIGIA KURA LOWASSA NA VIONGOZI WA UKAWA.
 
Wanataka kutumia msanii kama diamond kuvuta mashabiki viwanjani hamna kingine, ila hawa wasanii watakuja kulamba matapishi yao, steve nyerere kapewa uongozi uvccm, wema kaahidiwa kodi ya nyumba
 
Nimepata taarifa kuwa kuna amri imetolewa kwa wasanii kumsuport mgombea wa CCM na CCM kiujumla, na atakaye kaidi hilo basi asahau kuwekwa hewani na chanel hiyo. Sina hakika maana mi si mmoja wa wasanii na wala sijapokea amri hiyo. Ila kwa haraka haraka nimejaribu kupitia account za wasanii wengi na kuanza kuamini hilo . Hapa chini nimeambatanisha baadhi ya screen short toka kwenye account za wasanii.
View attachment 278303View attachment 278304View attachment 278305View attachment 278306

Hakuna suala la amri, bali ni mapenzi yao kwa chama tawala.
 
clouds wameingia na wakazama kwenye siasa za ccm, ila sio mbaya maana hata nchi zilizoendelea wana media za zinazoshabikia na kusupport siasa za upande flani..ila tatizo kubwa wanafanya kwa kificho..kitu ambacho ni unafki..kama sasa hivi kuna magazeti unajua kabisa hili ni la manyan'gau ya ccm hili ni la wanachi..so clouds msikifiche fanyeni wazi watu wawajue..hata ukawa wakishinda wasiwaletee fujo waendelee kuwasupport kwa sababu wanatoa ajira kwa vijana(japo kwenye malipo ndo pakuangalia)..
 
Amna jamani tusifike huko...nao ni Watanzania wanamirengo yao kama sisi tulivyo. ..mtu kaamua kumuunga mkono magufuli au lowasa ni yeye mwenyewe tu . kazi zake sikiliza au angalia ila kwenye mihemuko yake ya kisiasa isikuhusu
 
wananchi ni wengi sana kuliko wananchi wa kawaida.
 
unfollow wote hao wapuuzi Kama unafollow

Wanataka kutumia msanii kama diamond kuvuta mashabiki viwanjani hamna kingine, ila hawa wasanii watakuja kulamba matapishi yao, steve nyerere kapewa uongozi uvccm, wema kaahidiwa kodi ya nyumba

Hii ni zamu ya Lowasa hata wafanyeje hata wanunue wasanii wote hawataweza

Nime Unfollow wasanii wajingawajjnga woote Insta.

Hao wasanii wanaoisupport CCM wanafanya hivyo kwasababu ya njaa na ulimbukeni tu,na ni wazi kuwa moyoni wanaipenda na kuiamini UKAWA kuliko CCM ya mafisadi.hata hivyo wapo wachache sana na Wananchi wengine wote Tanzania TUTAMPIGIA KURA LOWASSA NA VIONGOZI WA UKAWA.

Swali dogo tu, kuna kiongozi gani wa Ukawa ashawahi kuwasupport hawa wasanii pengine hata kwa kuwapa tu pongezi katika mafanikio wanayopata? Rais J. Kikwete amekuwa mtu wa karibu sana kwa hawa wasanii, je mlitaka wasahau fadhila zake? Chadema, CUF, NCCR na NLD hakuna hata mmoja ambaye hata kwa bahati mbaya tu aliwahi kutoa pongezi kwa jitihada zinazofanywa na wasanii. Kabla Ukawa hamjalaumu, mjiulize kwanza mmewasaidiaje hawa wasanii katika kazi zao.
 
Kwanini umshutumu msanii ana njaa, ilhali mbooow kaiuza chadema kwa ulafi.

Au ndo mkuki kwa nguruwe.
 
Swali dogo tu, kuna kiongozi gani wa Ukawa ashawahi kuwasupport hawa wasanii pengine hata kwa kuwapa tu pongezi katika mafanikio wanayopata? Rais J. Kikwete amekuwa mtu wa karibu sana kwa hawa wasanii, je mlitaka wasahau fadhila zake? Chadema, CUF, NCCR na NLD hakuna hata mmoja ambaye hata kwa bahati mbaya tu aliwahi kutoa pongezi kwa jitihada zinazofanywa na wasanii. Kabla Ukawa hamjalaumu, mjiulize kwanza mmewasaidiaje hawa wasanii katika kazi zao.

Kijana unaaabisha chuo cha SAUT

SWALI: Inakuaje wasaniii wooooooote waweke the same picture?

Ndoroooooooobo wewe
 
Back
Top Bottom