Wasanii wa Bongo waliofanikiwa kutengeneza Classic songs

Juma nature - Hakuna kulala

- Mzee WA Busara

Inspector Harun - Asali WA Moyo

Marlaw - Bembeleza

Lady Jay Dee - Distance

Pr. Jay - Bongo Dar es salaam

-Nikusaidiaje

Jay Moe - Kama unataka Demu

Ferooz - Starehe

Daz Nundaz - Kamanda

Ali Kiba - Cinderella

-Mwana

Diamond - Ukimwona
 
Lazima utakua unatania. Hakuna mtu wa kusikiliza hiyo nadekezwa ya Mbosso, nisamehe ya Zuchu au hiyo Number one ya Rayvanny miaka 10 ijayo, labda wao wenyewe na familia zao. Ila angalia ngoma kama hizi:
Kasuku - Les Wanyika,
Rangi ya chungwa- Tabora Jazz,
Napenda nipate lau nafasi-Kilwa Jazz Band,
Kifo-Remmy Ongalla,
Georgina - Marijani Rajabu,
Mtaa wa saba, Shida & Jogoo la shamba - Mbaraka Mwinshehe,
Embe dodo -them Mushrooms,
SEYA,
Roger Milla - Pepe Kale n.k
Hiyo ni mifano tu ya ngoma ambazo zimedumu vizazi kibao, bado zinaishi mpaka leo, na tuna uhakika tutaondoka na kuziacha pia.
Ukirudi kwenye bongo fleva kuna mawe wadau wameshuka nayo hapo juu, kama starehe, chemsha bongo, mzee wa busara, mtoto wa geti kali, bongo Dsm, mikasi, hili game, zali la mentali, barua, kamanda na nyingine nyingi.
 
Ni wasanii wachache sana bongo waliofanikiwa kutengeneza nyimbo ambazo ni classic.

Classic ni zile nyimbo zenye uhai mrefu na uzuri wake uwa haupotei miaka na miaka.

Sio kila hit song ni classic.

Billie Jean ya Wacko jacko ni classic, happy birthday ya Steve Wonder ni classic.

Wasanii wa bongo na classic songs

Diamond Platnumz - Lala salama, Ukimwona, Kesho.
Mbosso - Nadekezwa
Rayvanny ft Zuchu - Number one
Zuchu- Nisamehe
Ali Kiba - Mack Muga
Prof Jay - Piga makofi
Lady Jaydee - Machozi
Mwana Fa - Mabinti
Mandojo& Domokaya - Wanoknok
Mpenzi - Dudubaya
Nenda - Macvoice
Kazi yake mola - Madee
Tutakukumbuka - Crazy GK
Hakuna kitu hapa
 
Nyimbo za maombokezo zinaishi kama hii ya Tutakukumbuka - Crazy GK ft Tid na ile ya Madee.kila ikitokea misiba mikubwa Redio lazma utazisikia.
 
Back
Top Bottom