acha ndoto za alinacha wewe.watanzania wa sasa sio wa miaka ya 70.waulize ccm kama wasanii ni ishu kwa wanachi vipi mbona hawakuwasaidia kule arumeru?komba na wanenguaji wenzie waliwka kambi kule lakini matkeo tunayajua.
Hahahaha, kumbe professor J ni CCM naenda kufuta nyimbo zake kwenye computer yangu na kuchoma cd na kada zake zote. Huu ni mwendelezo wangu wa chuki kwa hawa wasafirisha pembe za ndovu.
Mzee Yusuph ni jina na la yule mwimbaji wa taarabu wa kundi la jahazi modern taarabu, sipati picha akiingia bungeni nadhani kuna siku atakuwa anatoa burudani ndani ya bunge
Hapo ndo ccm wamewaza mpaka mwisho wa kufikiri ndo wameona anafaa kuwa mbunge wao, lakini sishangai kwa sababu wamefanikiwa kuingiza mganga wa kienyeji sembuse huyu mwimbaji wa taarabu