Wasanii Profesa J na Mzee Yusufu kugombea ubunge jijini Mwanza

acha ndoto za alinacha wewe.watanzania wa sasa sio wa miaka ya 70.waulize ccm kama wasanii ni ishu kwa wanachi vipi mbona hawakuwasaidia kule arumeru?komba na wanenguaji wenzie waliwka kambi kule lakini matkeo tunayajua.
 
Hahahaha, kumbe professor J ni CCM naenda kufuta nyimbo zake kwenye computer yangu na kuchoma cd na kada zake zote. Huu ni mwendelezo wangu wa chuki kwa hawa wasafirisha pembe za ndovu.

Kuanzia leo marufuku familia yangu kuhudhuria shows za Prof.J, maana yeye gamba
 
sugu kafungua njia, kama yeye alipata basi hata afande sele atagombea. Heshima ya bunge ilipotea alipo ingia wenje,mdee na sugu.
Na heshima ilirudi baada ya Lusinde, Professor Maji marefu, Mwigulu kuingia bungeni na Makinda kuwa spika.
 
Arusha mjini ni Nakaaya, Kawe ni Masanja Mkandamizaji na Ubungo ni Diamond.

CCM oyeeee!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom