kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,712
....L. Lusinde.sugu kafungua njia, kama yeye alipata basi hata afande sele atagombea. Heshima ya bunge ilipotea alipo ingia wenje,mdee na sugu.
....L. Lusinde.sugu kafungua njia, kama yeye alipata basi hata afande sele atagombea. Heshima ya bunge ilipotea alipo ingia wenje,mdee na sugu.
....L. Lusinde.
sugu kafungua njia, kama yeye alipata basi hata afande sele atagombea. Heshima ya bunge ilipotea alipo ingia wenje,mdee na sugu.

Na alipochukua Komba je?Mbona hamkusema hayo alipochukua sugu?
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
Wanamfuata mwenzao Joseph Mbilinyi, SUGU.
Hadhi ya ubunge ilipotea tokea pale aliposhinda Komba ubunge.
@Majebere acha kuvuruga mjadala hapa tunawajadili Profesa J na Mzee Yusuf..sasa hawa unawaingiza vipi! Kwanza nikuulize kweli mnaelekea kuishiwa mbinu kiasi hiki? basi huenda hata ya Mch. Mwakasyege kule Arusha ikawa ni kweli, ngoja tusubiri hukumu ya Lema, tujue mbivu na mbichi.
Hadhi ya ubunge ilipotea tokea pale aliposhinda Komba ubunge.
najua hapa reference ni kwamba mbona sugu aligombea akashinda sasa angalau sugu alikuwa ameamua kupigania umma lakini hawa kama wanakuja kwa tiketi ya wanyonyaji wasahau kila kituWakuu wa Fikra, heshima kwenu
Nime inasa hii katika pitapita zangu.Chanzo ni ufa wa mahusiano kati ya wafanya biashara ndogo ndogo(wamachinga) ambao ndiyo wapiga kura wengi na uongozi wa jiji la Mwanza umekuwa ukiongezeka kila kukicha na kufifisha matumaini ya kurirejesha jiji la Mwanza kuwa ngome ya ccm.
Kete ya kuchomeka mameya wa kichina imeonyesha kutokuzaa matunda kwani wakazi wengi jijini Mwanza wameonyesha hasira za wazi kama walivyokaririwa na badhi ya radio za jijini hapa.. na kuashiria kuwepo upigwaji wa kura za hasira tena dhidi ya ccm hapo 2015.
Mkakati uliopo sasa ni kutafuta watu wenye umaarufu wao binafsi na unaokubaliwa na jamii ili iwe rahisi kuwa nadi na wasanii hao ndiyo wanofikiriwa.mmoja atagombea Jimbo la Ilemela na mwingine Nyamagana.Yote hii nikuhakikisha jiji haliwi chini ya wabunge wa upinzani hasa cdm kama ilivyo kwa sasa.
Naendelea kufuatilia kwa karibu undani wa tetesi hizi, nitawajuzeni...ila chanzo changu kimedokeza kuwa baada ya sikuuku ya mwaka mpya 2013, watakuwa wakifanya show za mara kwa mara jijini Mwanza chini ya udhamini wa kigogo mmoja wa NEC-CCM(Jina kapuni kwanza)
Nawasilisha.
Mzee Yusuful ndyo yupi huyo? Hawa wazee zamu hii hatutawapigia kura hata kidogo..michango yao bungeni ni hasi! inshort they are outdated, let them go away from politics! waende wakatoe ushauri huko mashambani kilimo kikue..
lakini sugu haimbi taraab kaka mzuzuWanamfuata mwenzao Joseph Mbilinyi, SUGU.