Wasanii kuweni makini Ruge anawachonganisha

"mtu akijua kuwa una akili timamu na zakutosha akakuambia upuuzi na ukaukubali..atakudharau sana milele na milele ameen"....(haya maneno aliyasema hayati mwl. J.k. Nyerere)

ruge akijua mwanamziki wa bongofleva una akili...akakuambia upuuzi (wa kufanya shoo ulipwe tsh 100,000/- wakati dmx analipwa usd 300,000 (tshs 500,000,000/=) ukakubali..ruge atawadharau sanaaa milele na milele ...ameeen

ameeen
 
Unashangaa afande sele, alitukanwa prof jay kama mtoto na dada b 12 kisa alichelewa basi wakati wanaenda show ya fiesta mbeya na jay akakaa kimya ka cameroon wasanii wa kibongo aibu tupu utaumiza kichwa kuwapigania wakat wao wenyew hawajui thamn yao

Duh,this is too much!Hawa watoto wanafanya upumbavu wote huu?Mwisho wao haupo mbali.
 
Mheshimiwa sana Bob Marley alishasema katika wimbo wake wa ukombozi (Redemption song) kwamba "Emancipate yourselves from mental slavery...none but ourselves can free our mind!
You nailed man......nimeamini wasanii ni sikio la kufa.......

Nitakuwepo ustawi kesho kumpa tafu Sugu na wenzake
 
Tatizo la afande ni kubwa kuliko mnavyofikiri, afande for some reasn, hawezi kujisimamia, ndo maana hajafanya game kiviile, na matokeo yake ni kwamba anakuwa amepigika mbaya. Akipewa pesa kidogo inayozidi anayompa Sugu lazima akimbilie kwa Ruge....njaa inakufanya usione kesho...unaona leo tu...hapo ndo Ruge anapowapatia.
 
dj fetty alishamponda sana afande sele na kumwambia kuwa eti ajui kuvaa,maneno kibao aliongea juzi wamempa airtime kalapina naye anamponda sugu anasema yeye(kalapina)ndio mwasisi wa hip hop sasa hii kitu mbona kichekesho sana who cares? Umeongea point sana tatizo ni njaa za wasanii mtu kalapina kuna kipindi aliazisha hizi harakati ambazo sugu amezianzisha tena lakini alishindwa clouds wanamwita wanampa airtime kwa radio yao anaongea ujinga na kuwaponda wasanii wenzake.

hah! We mgeni nn apa tanzania.kwa taarifa huyu dovoo ni mwanachama hai wa cuf na alishawahi kugombea udiwan akachemka baada ya wananchi kumtambua ni msalit mnafki,abcd za cuf unazijua nadhan so usishangae ya pina wakat ya cuf unayajua kaka
 
afande sele kasema mchana kuwa gari yake iligongwa na alikua hana jinsi zaidi ya kupokea hela kapewa na wana claus akatengenezee gari
ki ufupi ni njaa na alitakiwa aseme tu mnisamehe bandugu ntaimba kwa ruge kwa ajili ya njaa inakaba
 
Kazi ipo, hii vita nani atakuwa starring? Yangu majicho.

Stering ni Jumong,
Adui Taesso.
Msanii unalipwa Tshs laki moja kwa Show moja ambapo kuipata ingine ni mpaka mwezi ujao itakusaidia nini?
Inawezekena Sugu asiwalipe vizuri kama Ruge, lakini nini lengo la kila mmoja wao kuweka hilo tamasha lake??
Sugu ni uzinduzi wa harakati za kimuziki uliopachikwa jina la "Antivirus" dhidi ya wanyonyaji.
Je Ruge aanazindua nini? Kuna Fiesta?
Tarehe 26 Nov ni kilele cha Miaka 50?
Kuna Birthday ya Couds?
Kuna nini sasa mpaka aweke tamasha lake siku hiyo??
 
hah! We mgeni nn apa tanzania.kwa taarifa huyu dovoo ni mwanachama hai wa cuf na alishawahi kugombea udiwan akachemka baada ya wananchi kumtambua ni msalit mnafki,abcd za cuf unazijua nadhan so usishangae ya pina wakat ya cuf unayajua kaka

CUF ni ma-snitch,
Wao wako tayari kuuza utu wao japo kwa mkate wa siku hiyo tu.
U-snitch ndicho pekee Kalapina alichofanikiwa ku-copy from CUF, na bora ameishia hapo, mana ange-copy hata vile visivyoigika kwenye jamii yetu.
 
Nakumbuka Dudu Baya,Chidi Benzi,TID walilazimishwa kuomba radhi Clouds wakati hata kosa halijui.Chidi na Dudu Baya waliambiwa wakorofi.Kitendo alichofanya Afande Sele ndio nimegundua kwamba njaa zitawaua wasanii wa bongo
 
Nakumbuka Dudu Baya,Chidi Benzi,TID walilazimishwa kuomba radhi Clouds wakati hata kosa halijui.Chidi na Dudu Baya waliambiwa wakorofi.Kitendo alichofanya Afande Sele ndio nimegundua kwamba njaa zitawaua wasanii wa bongo
Huyu Ruge sijui ni mtu wa aina gani! Huwa ana bifu za kipuuzi sana,nafikiri mtu ambaye hajakosana nae ni Kusaga tu kwavile ni boss wake! Anapenda u king maker! Kibaya kitachokuja kumponza na hata kusaga kitamgusa ni kujiingiza kwenye siasa bora walivyokuwa wanachukuliwa mwanzo kama watu wa burudani wasio na ushabiki wa vyama.kokote duniani unapohusisha bness yako na siasa lazima hiyo siasa ikumalize once! Ruge anapenda sana visasi akigombana na mtu tena bness issues! Siasa zake anazipenyeza hadi kwa maofisa mahusiano wa makampuni makubwa! Mvuto wa Clouds unashuka kwa kasi kubwa,ingawa pengine mapato yanaongezeka lakini ni sababu ya goodwill waliyoipata siku nyingi kidogo ambayo nayo itakufa! Ile Tv yao bado wanasafari ndefu sana.Choice ndio inayokua sasa sababu ipo neutral na siasa na ndio kama Clouds ya zamani yaani imekaa kiburudani zaidi.Rugd acha fitina za kipuuzi na kujihusha na siasa chafu bila kusoma alama za nyakati ambapo vijana wengi mnaodili nao wanataka mabadiliko kisiasa na uchumi!
 
Naona huyo ruge ni kama ana utoto utoto na ana-rule sababu fani ya bongo flava ni ya "utoto utoto" wasanii short sighted. fani ya mziki haijawa "corporate" kwa upande wa wasanii ni kwa hao mabosi tu. Na ndio maana utoto utoto na vi-bifu kama simba na yanga una play kwao mabosi very well. Wasanii wangekuwa corporate haya yasingekuwepo. Nilikwenda uganda wasanii wao kama nina Weasel and Radio wamefikia kuajiri mameneja wazungu na nyumba nzuri wanazo. Hivi bongo flava wangekuwa na mameneja wazuri haya yangewakuta? hivi wanafikiri watatoka kama waganda kwa mfumo huu? ushauri wangu kwa rage (sababu najua atasoma hapa) ni kwamba atambue kwamba ingawa ana rule kwa ignorance ya hao wasanii, lakini iko siku yata mrudi. Mfano mzuri ni muamar gadafi.....historia ndio ilivyo huwezi kuibadilisha - uta explot watu lakini a day will come wata revolt successfully. Wanaokuja kuwa heroes ni kama kina Sugu..
 
Back
Top Bottom