Mo-TOWN;1767325[COLOR="red" said:]Tumia akili zako na za kuambiwa! Toka lini mtu akapata popularity kwa kubomoa nyumba?[/COLOR] Equally mabango na magari yanaweza kusababisha ajali kwa hiyo huna point ya maana zaidi ya chuki binafsi. So what were you trying to say if I may ask? Kwa sababu ya ushabiki (au sijui niseme uwezo wako ulipofikia wa kuchambua mambo) umeshindwa kujua anayofanya Magufuli ni kwa mujibu wa sheria vile vile. Pole sana sidhani kama criticism zako ni constructive!
Maskini itakuwa ndo hao 5 star,mimi kama mimi walinipita nikiwa kazini(iringa~mafinga road) pale kilimani palipokuwa na makaburi yenye utata ya kiyeuyeu iringa.Ilikuwa ROSA moja yenye rangi intermediate ya nyeupe na kijivu.BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA,JINA LA BWANA LIBARIKIWE.
Sad to see somebody so biased against a person who has shown the willingness to work for the good of Tanzania. Parked lorries, yes they are a problem equally problematic are structures built in areas that are suppoed to be road reserves! Even the decision to stop the demolitions is by and large politically motivated. In all honest stopping demolitions is actually seeking cheaping popularity!
Are you serious? You guys must be really desperate!barabara hata kama zikiwa kama ulaya bado madereva esp wafuasi wa chadema sio watumiaji wazuri wa barabara,na huwa wanaendesha hovyo sana bila kufuata sheria,mfano kwa macho yangu siku slaa alipokuja kutafuta udhamini pale mjini moshi wafuasi wengi wa chadema wakiwa na pikikipi na magari walikuwa wakikimbiza vyombo vyao na kuendesha kwa mbwembwe nyingi sana kiasi cha kusababisha ajari!
unaanza ku come to your senses moron.
Kuna tetesi kwamba kundi la 5 * taarabu wamepata ajali huko kibaha na inasadikika robo ya watu wamekufa..!!
Source: clouds fm
utakuwa sahihi manake nili concentrate zaidi kwenye TOTAL STATION i.e darubini ya upimaji ardhi nikiwa pembeni ya barabara.Nimeona picha za ajali Gari ilikuwa na alama ya Toyota. Kwa hiyo ni Coaster maana Rosa ni Mitsubishi/Fuso. R.I.P. waliotutangulia.
ebu nisaidieni mi sio mfuasi mzuri sana wa taarab,hili kundi lilillopata ajari ndio la mzee YUSUFU?
Ukweli unauma daima eh? There isn't any shred of me swaying my opinion! Inaonekana umezoea matusi. Hivi kama mimi nikiwa moron wewe siutakuwa imbecile.
Awasamehe saa ngapi tena?wakati tayari wapo mbele ya kiti cha hukumu?Mungu awasamehe, azilaze roho za marehemu mahala pema,wapumzike kwa amani!