Wasanii 13 wa taarab wafa ajalini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasanii 13 wa taarab wafa ajalini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chitemo, Mar 21, 2011.

 1. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kuna tetesi kwamba kundi la 5 * taarabu wamepata ajali huko kibaha na inasadikika robo ya watu wamekufa..!!

  Source: clouds fm
   
 2. Bazobonankira

  Bazobonankira Senior Member

  #2
  Mar 21, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wadau,

  Taarifa za hivi punde kutoka Chalinze ni kuwa kikundi maarufu cha Taarab cha Five Stars kimepata ajali mbaya maeneo ya Chalinze na kisababisha vifo vya takribani robo tatu ya wanamuziki wote.

  Ajali hii imetokea usiku huu. Idadi kamili ya waliokufa ama kujeruhiwa haijawekwa wazi kinagaubaga. Tunaendelea kufuatilia.

  Pia haijajulikana walikuwa wanatokea wapi, ila inaaminika walikwa wanarudi jijini Dar baada ya Show ya weekend katika mikoa ya jirani.

  Pole kwa ndugu, jamaa, marafiki wa marehemu na majeruhuu, pia na wadau wote wa muziki wa taarabu.

  Mwenye taarifa kamili tafadi atujuje. RIP all.

  Source: Clouds FM Sports Etra usiku huu
   
 3. H

  Hardman JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 597
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 60
  inna lilah wa ina ilayhi raaiun,tunaomba habari zaidi bac mkuu
  :hatari:
   
 4. r

  ramson34 Senior Member

  #4
  Mar 21, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba kundi la taarabu la five star wamepata ajali mbaya ya gari maeneno ya kibaha na robo tatu ya wanamuziki wamepoteza maisha.

  Kama kuna mtu alipita maeneo hayo au kuwa na taarifa rasmi tunaomba atujuze.

  Naomba kuwasilisha.
   
 5. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ni vizuri ume2pa habari, na amini umesikiliza clouds na wao hawana uhakika ni watu wangapi wamefariki.
  Hebu tupe data kamili sasa wewe?
   
 6. Big Lady

  Big Lady JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Rest in peace waliotangulia ugua pole wagonjwaa
   
 7. Big Lady

  Big Lady JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwa ajari za kila siku hatuna tofauti na Irak
   
 8. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  RIP Marehemu wote

  Hapo hakuna siasa ila ukweli ni kuwa serikali inayo simamia miundo mbinu ndiyo inapaswa kubeba lawama zote kwani ajali Tz ni nyingi sana na zinasababishwa na miundombinu mibaya
   
 9. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Mungu awasamehe, azilaze roho za marehemu mahala pema,wapumzike kwa amani!
   
 10. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  RIP :A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry:
   
 11. MAYOO

  MAYOO JF-Expert Member

  #11
  Mar 21, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  We nduka, naanza kupata wasiwasi juu yako humu jamvin ni nani hasa! Kama sio Ma................bac ni El......
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Mar 21, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Huu ni utani au ni kweli?? Maana naona badala ya kuomboleza wengine wanapigana vijembe!
   
 13. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #13
  Mar 21, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Nini wa taarabu, roho za watanzania wasiojuilikana zinatoka hakuna anayeleta ufukunyuku hapa, ila hawa waimba taarabu na wauza sura ndiyo mtulazimishe tupay attention kuangalia na kusikiliza. Its not fair, kila mtu ana haki ya kujadili anachojisikia.
   
 14. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #14
  Mar 21, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wadau mbona hamueleweki wekeni data nasi tujue....
   
 15. Tshala

  Tshala JF-Expert Member

  #15
  Mar 21, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 246
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35


  Ni kweli ila watu wanaleta utani kwenye issue za msingi, inasikitisha sana, Mwenyezi Mungu na mwingi wa Rehema azilaze roho za marehemu mahali pema peponi, Amen!
   
 16. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #16
  Mar 21, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  R I P nI NJIA YA wote ila inauma sana hasa kwa ndugu zao
   
 17. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #17
  Mar 21, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mwenyezi mungu mwingi wa rehema..
   
 18. Jitihada

  Jitihada Senior Member

  #18
  Mar 21, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa clouds, yaan badala ya kuweka habari za msingi kuhusu huo msiba, wao wanaleta malumbano ya kimapenzi kati ya diamondi ,diva na wema sepetu, Usupa star kazi kwelikweli,,,
   
 19. m

  mgalisha Member

  #19
  Mar 21, 2011
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mwenyezi Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi...Amen!!!
   
 20. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #20
  Mar 21, 2011
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Sio Udaku ni habari za uhakika kabisa, 5 star modren taarab bas lao karibu robo tatu wamefariki.
   
Loading...