Wasanii 13 wa taarab wafa ajalini

radio one breaking news: zaidi ya wanamuziki 10 wa kundi la 5 star wamefariki dunia, wengine wamejeruhiwa vibaya baada ya bus lao kugonga lori huko Mikumi.
 
Recent updates ni kwamba jamaa wa Five Stars walikuwa na Show Mbeya on Saturday then jana wakapiga Mikuni. Ajali kumbe eti imetokea Miluni baada ya Hiace yao kugonga lori lililokuwa limepaki barabarani.

So far, inasadikiwa kuwa wanamuzikiwasiopungua 10 wamepoteza maisha hapo hapo, huku wengine wakijeruhiwa vibaya. That sounds so bad. RIP all who died!

Mina hakika there is a lesson to all of us, either katika mwendo wetu barabarani au umakini wetu.

Ewe mola tunusuru!!!
 
ITV imetangaza Breaking News 23:44 Hrs kwamba kuna ajali mbaya imetokea Mikumi Usiku huu Inayohusisha Wasanii wa Muziki waliokuwa wanarejea Dsm kutoka Iringa na Mbeya ambapo Kumi wamepoteza maisha papo hapo na wengine wako mahututi. Mwenye habari zaidi. Kwa Bahati mbaya sana nilikuwa nasinzia na sikupata jina la bendi ya wanamuziki hao.
 
R.I.P Sheba Juma,Issa Kijoti na wengineo wote,Mungu azilaze roho zenu peponi
 
Jamani acha basi masialah?mi leo hata radio cna ndo natoka fb nakutana na hii:Oh kibaha Ajali ajali?
 
Hawa clouds, yaan badala ya kuweka habari za msingi kuhusu huo msiba, wao wanaleta malumbano ya kimapenzi kati ya diamondi ,diva na wema sepetu, Usupa star kazi kwelikweli,,,

ungepeleka kwenye mahusiano, TUNAHITAJI DATA.
 
miongoni mwa waliofariki ni mwimbaji Issa Kijoti pamoja na mmoja wa viongozi bwana Madenge.....according to fullshangwe.blogspot.com
 
Hivi kundi hili lina include wanamuziki gani? wengine siyo wapenzi sana wa muziki wa mwambao,Mungu awalaze mahali pema peponi
 
Very sad news.
Pumzikeni kwa amani mliotutangulia...Mungu awatie nguvu wafiwa na wale wote walioguswa na msiba huu.
 
Sheba Juma nae aktutoka jamani,Issa Kijoti ajali hizi zinafupisha maisha ya vijana wadogo kabisa ambao ndo kwaaaaaaanza wanaannza.
 
RIP Marehemu wote

Hapo hakuna siasa ila ukweli ni kuwa serikali inayo simamia miundo mbinu ndiyo inapaswa kubeba lawama zote kwani ajali Tz ni nyingi sana na zinasababishwa na miundombinu mibaya
Je? Ajali hii ni sababu ya miundombinu mibovu au ni uzembe wa dereva.... Swali kwako mleta mada,una taarifa gani mpaka sasa? kuhusu hii ajali
 
Hivi kundi hili lina include wanamuziki gani? wengine siyo wapenzi sana wa muziki wa mwambao,Mungu awalaze mahali pema peponi

Paja Jibu Hapo kwenye Red!:sorry:

 
Last edited by a moderator:
Maskini itakuwa ndo hao 5 star,mimi kama mimi walinipita nikiwa kazini(iringa~mafinga road) pale kilimani palipokuwa na makaburi yenye utata ya kiyeuyeu iringa.Ilikuwa ROSA moja yenye rangi intermediate ya nyeupe na kijivu.BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA,JINA LA BWANA LIBARIKIWE.
 
Maskini itakuwa ndo hao 5 star,mimi kama mimi walinipita nikiwa kazini(iringa~mafinga road) pale kilimani palipokuwa na makaburi yenye utata ya kiyeuyeu iringa.Ilikuwa ROSA moja yenye rangi intermediate ya nyeupe na kijivu.BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA,JINA LA BWANA LIBARIKIWE.

Issa Kijoti ni mmoja wa marehemu:
Kwa msio wajua hawa 5 star ni wale waliimba Tarabu moja yenye kiitikio ''Kanunua simu kampa Demu Kampa demu walipoachana kampokonya''
 
Back
Top Bottom