Wasamaria:Fahamu chanzo chao na kwanini walikuwa hawachangamani na Wayahudi!

anyway nilichokielewa mimi nikwamba wengi katika hii hoja hawajui tafsiri ya neno myahudi,msamalia na muisraeli,
Taifa la israeli lilikuwa na makabila 12 ndani yake kwapamoja yanaunda hilo taifa ,baada ya kifo cha mfalme suleimani hili taifa la israeli liligawanyika sehem mbili kabila 10 zilizokuwa zinakaa kaskazini mwa hilo taifa zilikataa kuendelea kutawaliwa na kabila la yuda so wakajitenga wakaweka makao yao makuu kwenye mji wa SAMALIA na taifa lao likawa linaitwa ISRAELI na kabila zingine mbili zilizobaki ilikuwa ni YUDA (JUDAH) na BENJAMINI wao walikuwa wanakaa kusini mwa nchi so wakabaki na taifa lao likawa linaitwa YUDA,na makao yao makuu yakawa Yerusalemu na wakawa wanatawaliwa na watu wa nyumba ya daudi kama Mungu alivyowaagiza,sasa ukianza kusoma 2Wafalme 16 wale waliobakia kusini wakaanza kutambulika kama WAYAHUDI (JEWS) kutokana na jina la taifa lao kuwa YUDA(JUDAH),sasa ukiendelea kusoma mbele zile kabila 10 za kaskazini zilizojitenga na ambazo hazikuwa zinatawaliwa na wazaliwa wa nyumba ya Daudi kama ilivyokuwa desturi badala yake zilitawaliwa na wafalme wasiofuata misingi ya Mungu wa baba zao wakachukuliwa utumwani na Mfalme wa ASSYRIAN wakaenda huko wakaendelea kutawaliwa na kuchangamana na watu wa mataifa wa huko ndio wakaitwa WASAMARIA,sasa kipindi Yesu anakuja alikuta bado huo mgawanyiko upo ule ufalme wa kaskazini (Samaria) na ufalme wa kusini (YUDEA) ambayo ilikuwa chini ya utawala wa WARUMI(ROMAN RULE),so utaona kwanini wayahudi walikuwa hawataki kuchangamana na wenzao tangia awali ,
Yesu na wanafunzi wake waliihubiri injili Judea yote kutafuta kondoo waliopotea kwa muda wa miaka mitatu na nusu then wayahudi wakamkataa Yesu kama Masihi wao wakafanikiwa kuwashawishi waroma kumuua Yesu na wakafanikiwa lakini baada ya siku tatu akafufuka akajionyesha wazi wazi kwa wanafunzi wake kabla ya kupaa kwenda mbinguni kuketi mkono wa kiume wa Mungu mwenye Enzi! ila kabla hajashikwa na kusulubiwa pale msalabani aliwaambia wanafunzi wake kuwa "Adhabu ya Wayahudi kumkaataa (soma kumb la torati 28) Mathayo 21:41,Yerusalemu itatwaliwa kimabavu na hekalu litavunjwa na wayahudi watachukuliwa utumwani kwenye mataifa yoote ya duniani, huu unabii ulitimia mwaka 70 baada ya Yesu ambapo mfalme TITUS aliyafanya hayo aliyoyasema Yesu!
So Waisraeli (zile kabila 10)au wasamalia waliadhibiwa wakatawanywa koote kama adhabu ya kuto kutii maagizo ya Bwana Mungu ,then YUDEA(JUDAH) nao wakatawanywa kama adhabu ya kumkataa masihi Yesu!
kinachofuata baada ya hapa ndio wakristo wengi tunakuja kutofautiana ...............Je hawa waliorudi pale wanaojiita taifa la israeli ndio wale waliotawanywa miaka takribani 2000 iliyopita?? au hawa ni fake na original bado wapo kwenye utumwa,dhiki,mateso na kila aina ya manyanyaso kama neno la Kristo linavyosema?????? kuna thread kama hii niliianzisha unaweza kuisoma pia kupitia hii link
https://www.jamiiforums.com/threads/uhalisia-wa-taifa-la-israeli.
msemo kuwa mungu wao alitaka utawala uwe katika nyumba ya Daud,hiyo ni power struggle na ilikuwa propaganda ya wayahudi ili waendelea kutawala wao,
mfano Saul mfalme wa kwanza hakuwa na uhusiano wowote na Daud,
daudi alikuwa mpiga kinanda wa kumfurahisha saul,na inaonekana hata ufalme alupata kwa hadaa,kwani mfalme saul baadae aligundua Daud anashirikiana na wafilist kumuhujumu,na hata wakati anakaribia kufa 'saul alitaka mwanae ndo awe mrithi wake ,Daud akacheza manuva mpaka yeye ndo akawa king,
hata ukijiuliza Daud alifanya kipi cha ajabu hadi iwe lazima ukoo wake ndo utoe mfalme.?
Hicho ndo kilifanya hiyo nchi igawanyike mara mbili,maana solomon mwana wa Daud alilewa madaraka,akaanza kunyanyasa raia,na alipokufa,raia wakamwuliza mrithi wake kama atawalegezea kidogo ama ataendelea kutawala kwa mkono wa chuma kama babake,alipojibu atawabatiza kwa moto,
waisrael wakaamua kujitenga na kuchagua mfalme wao.

Ukirudi kwa wayahudi,hawakuchukuliwa utumwani kwa kumkataa yesu,bali walitekwa na ufalme wa babel na baadhi kwenda utumwani,
ieleweke kuwa enzi hizo sio wayahudi pekee ndo walikuwa wakipelekwa utumwani,
ilikuwa ndo fashion,hata waasyria,waamori etc nao walikuwa wakipelekwa utumwani,na hawakuwa wote,wavamizi walichukua toplayer,
kwa maana ya mafundi,wasomi etc,sio kwamba taifa zima lilibebwa,
wakati wa yesu hakukuwa na judah kingdom,utawala wa Rumi ndo ukitawala,na Herode alikuwa amewekwa hapo na warumi kama Governor,

mwaka 70AD wayahudi wakiwa wamechoshwa na utawala wa kikoloni,waliiasi,
kuna jamaa mmoja akijiita masihi aliekuja kuwakomboa wayahudi ndo aliongoza uasi akijitangazia state kama yule al baghdad,

akapigana na warumi kwa zaidi ya miaka miwili,warumi walipata reinforcement toka Rumi,
wakatuliza uasi na kwa ghadahabu wakaliharibu lile hekalu
 
Maelezo mazuri. Na aya yako ya mwisho ndilo swali kuu. Je hawa wanaoitwa Waisrael ambao kimsingi wanatarajiwa kuwa wale wa YUDA (jews) ndio wale wale kweli ambao walichukuliwa utumwani Babeli na kurudi na kisha tena kutawanywa enzi ya agano jipya? Au ni wengine walijipandikiza hapo? Je wale watokanao na makabila mengine 10 wako wapi hadi sasa?

Ukifuata link niliyoweka hapo chini ya maelezo yangu utapata majibu yoote ila kwa kufupisha tu ukisoma maandiko na kuyatafakari ni hv, yale makabila 10 (WASAMALIA) ile dhambi yao waliyotenda kile kipindi baada ya kifo cha suleiman ya uasi hakuna mahala kwenye biblia walitubu ndiomaana walibaki utumwani hadi Yesu anakuja na hata baada ya yesu kuondoka wao bado wapo utumwani,tafsiri ya utumwani ya sasa inaweza kuwa tofauti na ule utumwa wa kale ila wapo katika utumwa na mapatilizo kibao yanawapata sababu hawakutii na kushika maagizo ya Bwana kama ilivyoandikwa ktk kumb 28!
Hizi kabila mbili za judea ambazo kimsingi baada ya kifo cha suleiman walikuwa wanamuasi Mungu wanachukuliwa utumwani then wakitubu mungu anawasamehe anawarudisha kwao kwa kuwainulia nabii miongoni mwao wakuwaongoza kurudi imetokea hv mara nyingi sana kuanzia kitabu cha wafalme hadi kitabu cha malaki na hadi Yesu anakuja walikuwa wameasi na walikuwa wanatawaliwa na waroma, ndiomaana alivyokuja masihi(mkombozi) walijua moja ya kazi yake kubwa ni kuwarudishia milki ya taifa lao kutoka kwa wakoloni wao wa enzi zile kama ilivyokuwa hapo awali kwakuwa Yesu alikuja kuwakomboa kwa kuwaletea injili hawakumuelewa ndio wakamkataa na kumuua then siku ya tatu akafufuka akapaa kwenda mbinguni, sasa ile dhambi ya kumkataa Yesu(Mungu) lile andiko la kumbu kumbu la torati 28:15 na kuendelea lazima litimie!, mwaka 70 Baada ya Yesu Yerusalem ilivamiwa na mfalme TITUS ambaye aliuharibu mji woote na wayahudi(WAYUDEA/JEWS) wakatawanywa kila pahala kwenye uso wa Dunia kwa kuchukuliwa Utumwani na malaana kibao yakawa juu yao kama ilivyoandikwa kumb28:15 na kama Yesu alivyosema Kwenye injili ya luka 21:20-24!
Kwahiyo mwaka 70 baada ya yesu Wayahudi(WAYUDEA) na zile kabila 10(WASAMALIA) woote walikuwa utumwani! Kwa dhambi zao tofauti tofauti walizomtenda Bwana na kwa vipindi tofauti tofauti kila mmoja hadi mwaka 1948,14th May Dunia ikaona kuna watu wanaojiita wana wa Israel (jews) wamerudi pale Israel na kuanzisha Taifa lao la Israel ambalo wanasema lilitawanyika miaka kama 1900 hv iliyokuwa imepita !!!!!
Sasa kwangu mimi na baadhi ya watu wengi kutokana na maswali haya hapa chinitu tunaamini hawa waliopo pale israel sasahv sio wana wa israel wa kipindi kili hawa ni Fake wamepelekwa pale na Shetani kwa lengo la kumpokea Masihi wao wanayesema atakuja ambaye kimsingi ni mpinga kristo
MASWALI
1.Lini hawa wana wa Israel waliopo pale israel leo walitubu ile dhambi yao ya kumkataa Yesu kama Masihi na kufuata maandiko yake? (Hicho kitu hakijawahi kutokea!)
2.Yeremia 23:5-6(KJV) Imeandikwa Yesu mwenyewe akija kwa mara ya pili atawarudisha pale Israel na watakaa kwa raha na amani (Je Yesu alikuja huo mwaka 1948 taifa la israel linaanzishwa upya)???
3.vitabu vingi sana na baadhi ya manabii wengi sana katika biblia wanajitambulisha kuwa ni watu weusi ! Mbona hawa waliopo pale ni wazungu pure!!!
4. Kama kweli hawa ndio wana wa israel halisi na walimuasi Mungu na hakuna mahali panaonyesha waliwahi kutubu makosa yao basi ile laana ya kumb 28:16 lazima iwe juu yao lakini kinyume chake hawa ndio matajiri wakubwa dunian!!! So maneno ya Mungu ni ya uongo????
5.Yesu alisema Yerusalem itaharibiwa na itakaliwa na mataifa hadi muda wa mataifa utakapo kwisha( atakapo kuja tena Yesu) Luka 21:24 so waliopo pale sasahv ni mataifa?????!!!
6.Mwisho kabisa kwenye ufunuo wa yohana umewataja hawa wanaojiita wayahudi kuwa sio halisi ni Fake na ni sinagogi la Shetani na wayahudi halisi ni Masikini wa "Material things" lakini ni matajiri wa Imani ,ufunuo 2:9!

NB: Yesu alisema ile dhambi ya kumkataa itawafanya wachukuliwe mateka/utumwani duniani kooote na maisha yao yatakuwa ya laana na taabu nyingi , historia inaonyesha tangu zamani hadi sasa ni mtu mweusi tu ndio aliuzwa kama bidhaa sokoni,alichukuliwa utumwani,anateswa mpaka sasa na kutawaliwa .....
Ni mtu mweusi pekee aliyetawanywa kwenye uso wa dunia kila kona na kila bara na kila nchi
 
Utotole mkuu,acha nitafiti zaidi jibu lake utalipata!
Ila hata Biblia yenyewe haisemi chochote kuhusu makabila hayo kumi na wala haisemi lolote kuhusu vizaria vyao tangu watwaliwe utumwani!
Ili jibu ata mimi nitalisubiri nataka kujua yale makabila kumi yapo wapi...lakin jiulize kwann kuna Waisrael wanaorud Nchini mwao kama Walowez kutoka Iran. ..Ethiopia. .USA ...Canada ..Ulaya ..pia inaaminika kua Warusi wengi ni JEWISH...pia ktk nchi za kiarabu zmejaa Jewsh na baadhi ndio Viongozi wa nchi na Jeshi ata ktk vita Jewsh wengi waliopo uarabun waligeuka kua informers wa ISRAEL i.e 6 days war....ata ukifatilia Historia ya Familia ya Netanyahu ..Baba yao alikaa USA sana nazan akiwa professor wa chuo kikuu kabla ya kurud Israel ambapo Kijana wao Mkubwa kaka wa Benjamin Netanyahu. ..ma hero Yon Netanyahu alikatsha masomo na kuondoka USA na kulazmsha kurud Israel Kujiunga na Jeshi ambapo alikuja kua komandoo wa special unit na alishrk opereshen nyingi ikiwemo ya mwsho ya Entebe Raid
 
unapotaka kujifunza ukikuta thread yoyote pitia kwanza majibu ya mwanzo usisumbie watu kwa kutaka kujiridhisha nafsi yako. swali lako lishajibiwa vizuri kabsa hapo nyuma

Sent using Jamii Forums mobile app

I bet kichwa chako sio kizima sana na umeumbiwa unconstructive criticism ndani yako

Post yako ni #88 na ya kwangu kuuliza swali ni #14 na hayo majibu unayosema niyasome kwanza yote ni matokeo ya mimi kuuliza hili swali. Stupid
 
Miti haina roho ila ina pumzi, pia roho inaweza kukaa kwenye kitu chochote kinachoweza kushikika. Kuhusu virusi nahitaji muda zaidi, sijui kwa uelewa wako ndugu.
Kama miti haina roho,na miti ina uhai, basi roho si uhai.

Jibu lako la "roho ni uhai" si la kweli.
 
Kamamiti haina roho,na mitiina uhai,basi roho si uhai.

Jibu lakola "roho ni uhai" si la kweli.
Usichanganye kati ya roho na pumzi, pumzi huwezesha kiumbe hai kupumua na kuishi katika hali ya kushikika. Roho ni uhai kamili ambao hautegemei mwili katika uwepo wake au kuishi kwake. Hata mwili ukifa na kupotea usionekane bado roho inaendelea kuishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usichanganye kati ya roho na pumzi, pumzi huwezesha kiumbe hai kupumua na kuishi katika hali ya kushikika. Roho ni uhai kamili ambao hautegemei mwili katika uwepo wake au kuishi kwake. Hata mwili ukifa na kupotea usionekane bado roho inaendelea kuishi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sijataja pumzi. Pumzi umeitaja wewe. Kwa nini unafikiri nachanganya kitu ambacho hata sijakitaja?

Umesema roho ni uhai.

Tunajua miti ina uhai.

Umesema miti haina roho.

Kama roho ni uhai, ukikubali miti ina uhai umekubali miti ina roho

Inawezekanaje miti kuwa na uhai bila ya kuwa na roho, wakati ushakubali uhai ni roho?

Unachosema hapo ni sawa na mtu kusema hivi.

Shilingi moja ni senti mia ( roho ni uhai).

Juma ana senti mia (miti ina uhai)

Juma hana shilingi moja (miti haina uhai).

Kama shilingi moja ni senti mia, inawezekanaje Juma akawa na senti mia halafu hiyo senti mia yake isiwe shilingi moja?

Kama roho ni uhai, na miti ina uhai. Inawezekanaje miti iwe na uhai bila ya kuwa na roho? Huoni kwamba kusema hivyo ni sawa na kusema Juma ana senti mia ila hana shilingi moja?

Hili hujalijibu.

Sent from my Kimulimuli
 
Kuna tofauti kati ya mtu na miti hata kati ya mnyama na mtu, mtu ni roho inayoishi katika mwili, wakati mti si roho wala mnyama si roho ila ni viumbe hai vinavyoishi kwa namna yake. Utambue mtu halisi si mwili wake unao onekana bali ni roho na mwili ni makazi yake ya muda tu akiwa anaishi hapa duniani kama viumbe hai vingine. Si kila chenye uhai kinacho jongea kilicho na mwili kina roho. Nimejitahidi kukutofautishia kati ya mtu na miti japo vyote ni viumbe hai.

Mpaka sasa hujajibu roho ni nini.

Sent from my Kimulimuli
 
Hakuna ushahidi wowote wa kueleweka kwamba roho ipo.

Mpaka sasa ni hadithi tu.

Ndiyo maana unajiuma uma kuielezea roho ni nini unashindwa.
Unapo zungumzia roho unazungumzia masuala ya imani na yanahitaji kwenda kwa namna ya imani, si kwa akili tu za kawaida na si kwa macho tu ya kawaida. Huenda unahitaji muda zaidi wa kujifunza elimu hii ya kiimani ama unajua kwa sehemu na kujifanya mtafiti wa kutaka kushika kwa mkono.

Sawa, unapozungumzia roho unazungumzia suala la imani, lakini imani nayo kuna imani potofu.

Si imani zote ni sahihi. Nyingine ni potofu.

Sasa, unajuaje kwamba ukiamini roho ipo hujaamini imani potofu ya kuamini kwamba kitu ambacho hakipo kipo?

Unajuaje kwamba imani yako ni sahihi na si potofu?
 
Back
Top Bottom