Wasamaria:Fahamu chanzo chao na kwanini walikuwa hawachangamani na Wayahudi!

Sawa, unapozungumzia roho unazungumzia suala la imani, lakini imani nayo kuna imani potofu.

Si imani zote ni sahihi. Nyingine ni potofu.

Sasa, unajuaje kwamba ukiamini roho ipo hujaamini imani potofu ya kuamini kwamba kitu ambacho hakipo kipo?

Unajuaje kwamba imani yako ni sahihi na si potofu?
Kwa upande wangu mimi naamini imani niliyonayo si potofu na simkosoi mtu na imani yake. Mimi naamini kuna Mungu mmoja aliyeumba mbingu na nchi na vyote vilivyopo, vinavyo onekana kwa macho ya damu na nyama na visivyo onekana kwa macho ya damu na nyama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuamini tu unaruhusiwa kuamini chochote.

Mtu yeyote mwenye elimu ya msingi kabisa na staha zinazotakiwa za kibinadamu anatakiwa ajue kwamba suala la imani, mtu yeyote hapaswi kuingiliwa.Anaruhusiwa kuamini anavyotaka.

Ndiyo maana wasomina wajuzi wa mambo walikaa chini wakaandika Universal Declaration of Human Rights mwaka 1948.Moja ya maazimio ya tamkohili nikuruhusu uhuru wa kuabudu na imani kwa watu wote.

Somazaidi hapa Universal Declaration of Human Rights - Wikipedia

Kwa kujua hili,hata katiba yetu ina vipengele vya kutuwekea uhuru wa kuabudu bila bugudha ilimradi hatuvunji sheria za nchi.

Hivyo, kwangu mimi kama mtu niliyepata kujua haya, kumkosoa mtu kwa imani yake ya faragha zake binafsi ni mwiko mkubwa sana.Siwezi na wala sitaki.

Lakini, ukishaleta jambo kwa mjadala JF, ushajitoafaragha yako ya kuamini.Umeliweka jambo kwenye uwanja wa mjadalalijadiliwe.

Kuna Wahindi wanaamini ng'ombe ni kiumbe mtakatifu, na huko kwao India watu wanapata tabu sana kwenye suala na ng'ombe.Ukila nyama ya ng'ombe wanaweza kukuua.

Ndiyoimani yao.

Lakini je, wao kuamini kwamba ng'ombe ni kiumbe mtakatifu kunamfanya ng'ombe awe kiumbe mtakatifu?

Wewe unakubali kwamba ng'ombe ni kiumbe mtakatifu?
 
Kuamini tu unaruhusiwa kuamini chochote.

Kuna Wahindi wanaamini ng'ombe ni kiumbe mtakatifu, na huko kwao India watu wanapata tabu sana kwenye suala na ng'ombe.Ukila nyama ya ng'ombe wanaweza kukuua.

Ndiyoimani yao.

Lakini je, wao kuamini kwamba ng'ombe ni kiumbe mtakatifu kunamfanya ng'ombe awe kiumbe mtakatifu?

Wewe unakubali kwamba ng'ombe ni kiumbe mtakatifu?
Tayari umeshasema kuamini unaruhusiwa kuamini chochote, na wao wanaamini ng'ombe ni kiumbe kitakatifu. Huo ni upande wao haunihusu mimi, mimi naamini tofauti na imani hiyo. Kwangu mimi ng'ombe ni chakula.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tayari umeshasema kuamini unaruhusiwa kuamini chochote, na wao wanaamini ng'ombe ni kiumbe kitakatifu. Huo ni upande wao haunihusu mimi, mimi naamini tofauti na imani hiyo. Kwangu mimi ng'ombe ni chakula.

Sent using Jamii Forums mobile app
1.Imani yako katika faragha zako unaruhusiwa kuamini chochote kama tulivyoona hapo juu.Ukiamuakuamini chochote, hakuna anayeruhusiwa kukuhoji, labda kama umemuingilia katikaeneo lake, umemvunjia heshima au sheria. Hilo tushakubaliana.

2. JF ni ukumbiwa mjadala.

3.Ukileta habari za imani yako JF, ushajiondolea faragha zakokuhusu imani hiyo (kwa sababu JF ni ukumbi wa mjadala kama tulivyoona hapo namba 2 juu. Tunaruhusiwa kukuuliza "Kwa nini unaamini hivi na si vile?" na ukishindwa kutetea imani yako,utaendelea kuruhusiwa kuamini, lakini utaonekana unaamini imani potofu au ambayohuielewi vizuri kuielezea.

4. Ungekuwa na uhuru wa kusema "wanaoamini ng'ombe huo ni upande wao, hawanihusu" kamaungekuwa hujajiingiza katika mjadala wa imani, tumekufuata kwako tukakuuliza hilo swali.Lakini, madam ushajiingiza katika mjadala wa imani, suala hilo linakuhusu.Linakuhusu kwa sababu linaichambua imani yako.Linaichambua imani yako kwa sababu linahoji dhana ya kwamba imani ipi ni potofu.

Unaamini ng'ombe ni kiumbe kitakatifu kama wanavyoamini wahindi?
 
Watu bado huwa wanachanganya sana,

yale makabila 10 ya wana wa israel,sio Wayahudi.

Wayahudi ni yale makabila mawili Yuda na benjamini,

pia ukweli mwingine baada ya ufalme wa israel kuangushwa na waasyria,sio waisrael wote waliende utumwani,ni baadhi tu na waliobaki ndo walianza kubaguliwa na wayahudi,wakiitwa wasamalia.

Na hadi yesu anazaliwa huo utamaduni wa kuwabagua waisrael na kuwaita wasamaria uliendelea,

bibilia haisemi hatima ya makabila kumi,kwasababu wayahudi walifanya juu chini kuhakikisha wanazipoteza record zote na wakahitimisha eti mungu wao alisema atawapoteza na hawatapatikana tena,yote ile si kweli,

na pia suala la kupelekwa utumwani baadhi ya watu wenye Talents zao nchi yao inapotekwa ilihusu jamii nzima ya eneo hilo na haikuhusu wayahudi ama waisrael pekee,
japo sasa wayahudi wakabuni vifungu vya kuonyesha eti ilikuwa ni adhabu ya jehova kwa wayahudi kutomtii maagizo yake
 
Usiniulize maswali yanayohusu imani ya watu wengine ambyo mimi siamini katila hiyo, kwa sababu sitakuwa na maelezo yoyote wala sitakujibu chochote kuhusu imani ya mtu mwingine. Siwezi kutolea maelezo jambo nisilokuwa na uelewa nalo. Angalau ukiniuliza yanayohusu imani yangu naweza kukujibu

Sijakuuliza maswali kuhusu imani ya mtu mwingine, nimekuuliza maswali kuhusu imani.

Kama hujaelewa hilo,huelewi imani ni nini.

Kimsingi kuna maswali mawili hujayajibu.

1. Inawezekana imani ikawa potofu?

2. Kama inawezekana imani ikawa potofu, unajuaje kwamba imani yako si potofu?

Hujajibu maswali haya.
 
Watu bado huwa wanachanganya sana,

yale makabila 10 ya wana wa israel,sio Wayahudi.

Wayahudi ni yale makabila mawili Yuda na benjamini,

pia ukweli mwingine baada ya ufalme wa israel kuangushwa na waasyria,sio waisrael wote waliende utumwani,ni baadhi tu na waliobaki ndo walianza kubaguliwa na wayahudi,wakiitwa wasamalia.

Na hadi yesu anazaliwa huo utamaduni wa kuwabagua waisrael na kuwaita wasamaria uliendelea,

bibilia haisemi hatima ya makabila kumi,kwasababu wayahudi walifanya juu chini kuhakikisha wanazipoteza record zote na wakahitimisha eti mungu wao alisema atawapoteza na hawatapatikana tena,yote ile si kweli,

na pia suala la kupelekwa utumwani baadhi ya watu wenye Talents zao nchi yao inapotekwa ilihusu jamii nzima ya eneo hilo na haikuhusu wayahudi ama waisrael pekee,
japo sasa wayahudi wakabuni vifungu vya kuonyesha eti ilikuwa ni adhabu ya jehova kwa wayahudi kutomtii maagizo yake
Hapo kwenye wauahudi waliobakia nchini kwao ndiyo waliitwa wasamaria nimekuelewa na ni kweli kabisa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijakuuliza maswali kuhusu imani ya mtu mwingine, nimekuuliza maswali kuhusu imani.

Kama hujaelewa hilo,huelewi imani ni nini.

Kimsingi kuna maswali mawili hujayajibu.

1. Inawezekana imani ikawa potofu?

2. Kama inawezekana imani ikawa potofu, unajuaje kwamba imani yako si potofu?

Hujajibu maswali haya.
Hapo kila mtu ataona kwake ndiyo sahihi ndiyo maana anaamini katika hiyo anayoamini, kuwa potofu kunatokana na aidha ameona ya mwingine ikiwa na ubora zaidi kuliko yakwake au ameshawishiwa na kuvutika na hiyo ingine. Pia maelezo ya kina yanahitajika ili mtu ajionee mwenyewe kama anaweza kuhama kutoka imani yake kwenda imani ingine

La kila mtu kuamini kwake kuko sahihi mbona halina mjadala na nishaliongelea hapo juu.

Ukishaamini kwamba ng'ombe ni Mungu, umeshaamini, hakuna mjadala kama unaamini hilo.

Mjadala upo kwenye swali hili, je, unachoaminini kweli? Huyo ng'ombe unayeamini kwamba ni Mungu, ni Mungu kweli au unaamini jambo ambalo halina uhalisi?

Na kama nilivyosema awali, hili swali ni la faragha za mtu binafsi.

Ila, kwa sababu mmeleta mjadala hapa, mmeondoa faragha za binafsi na kuliweka swali wazi kwa mjadala.

Bado hujajibu swali.

Unajuaje kwamba imani yakoni sahihi na si potofu? Au umekubali tu kuamini bila kujiuliza swali hilo?
 
Ndiyo maana nimekwambia kila mtu na anavyoona nafsini mwake kuwa imani yake ni sahihi ndipo usahihi wake unapopatikana, kwa mfano mimi binafsi naamini imani yangu ni sahihi kulingana na mafundisho niliyokuzwa nayo juu ya imani yangu. Na kwamba nikienda kinyume na mafundisho hayo basi nitakuwa nimepotoka! Ni hivyo tu mkuu.

Sawa.

Hilo halina tatizo.Na hakuna aliyekubugudhi wewe na imani yako madam umeamua kuamini unavyoamini.

Kwa sababu ni haki yako na una uhuru wa kuamini unavyotaka.

Ila, ukianza kuijadili imani yako hapa JF, unaruhusu watu wakuulize maswali.

Na moja ya maswali hayoni hili.

Unajuaje kwamba imani yako ni sahihi na si potofu?

Unaweza kujibu kwa kusema kitu kinachokufanya uamini imani yako ni sahihi.

Unaweza kukubali tu kwamba"jamani eeh, mimi haya mambo hata siyaelewi vizuri.Nimeyakuta tu kwetu na mimi nafuatisha, hata siwezi kuitetea imani yangu kwa nini hii ndiyo iwe sahihi"

Hutakiwi kuingia katika mjadala wa imanihapa JF, halafu ukachomoa njiani kujibu maswalikwakigezo cha kwamba kila mtu ana imani yake.

Wanaojua kila mtu ana imani yake na kwa minajili hiyo hawataki maswali hawatakiwi kuchangia mijadala ya imani hapa JF.

Ukichangia tu, umeruhusu maswali.

Na ukijibu swali la"kwa nini unafikiri imani yako ni sahihi na si potofu" kwa jibu la"kila mtu ana imani yake" unajionyesha huielewi hiyo imani yako, na hiyo ndiyo sababu huwezi kuielezea usahihi wake.
 
Watu wanapenda na kujua historia ya Wayahudi na Wasamaria walioishi miaka maelfu na maelfu mbali huko, lakini ukiwauliza historia ya Mwanamalundi, Kinjekitile, Mkwawa au David Kidaha Makwaia walioishi takriban miaka mia moja iliyopita kwetu hawaijui.

Hili ni jambo la aibu.

Ndiyo maana inakuwa rahisi kutuaminisha kwamba sisi si watu kamili.
Nilipata kumsikiliza Joseph Butiku akisema kuwa tunajifunza demokrasia ya Kigiriki lakini demokrasia ya Kingoni hatujifunzi.
Nafikiri ni sawa na wazo unaloliwasilisha hapa.

Pia kwa kiasi kikubwa historia kubwa ya jamii za kiafrika kiwatenganishe zimejikita ktk oral sana labda inaweza kuwa shida.

Wakati mwingine ni mapendeleo ya watu mf mandishi ya kiimani yana mvuto sana kusomwa kuliko haya ya elimu dunia.
 
Haina uhusiano na hilo aliloliandika mtoa maada, Wayahudi walikuwa wakiishi kwa kutumia Sheria Torati, na wao walikuwa na Mungu wao ambaye alikuwa ni tofauti na Mungu wa Mataifa mengine, Hivyo wao KWENYE SHERIA ZAO NDIO WALIOAMBIWA WASICHANGAMANE NA WATU WENGINE, YESU ALIKUJA KUZIBADIRISHA HIZO SHERIA ZA KIMWILI NA KUZIFANYA KUWA ZA KIROHO
Mkuu Kituko ukisema Wayahudi walikuwa wakiishi kwa kutumia Torati basi utakuwa unakosea manake hadi kesho, Wayahudi wanatumia Torati!!

Wayahudi hadi kesho hawaitambui Injili.

Hapa tuwe makini tusichanganye kati ya Wa-Israel na Wana wa Israel.

Ndani ya Wana wa Israeli kuna Wakristo na Wayahudi!!! Wakristo ambao ni wafuasi wa Yesu na Wayahudi wafuasi wa Musa ambao hadi kesho wanamtambua Musa na sio Yesu!!

Miongoni mwa wa-Israel kuna Wayahudi, Wakristo na Waislamu... huku Wayahudi wakiwa ndio wengi zaidi wakifuatiwa na Waislamu na kisha Wakristo!!!

Hili la kwamba Israel kuna Waislamu wengi kuliko Wakristo wengi hawalifahamu! Tena wamewazidi kwa mbali! Hata hivyo, majority ya Waislamu ni Waarabu; ambapo baadhi ya Waarabu ni Waislamu ni Waarabu na wengine ni Wakristo!!

So, Wayahudi kama Wayahudi hadi kesho "wanafuata" Torati!!!

In addition, Mungu wa Wayahudi wa Torati ni Mungu huyo huyo unayemwamini wewe unless kama unataka kusema Mungu wa Mussa ni tofauti na huyu unayemwamini wewe!!!
 
Back
Top Bottom