MTALAAM WA MAJIKO
Senior Member
- Feb 6, 2015
- 137
- 78
tatizo ni usahihi wa taarifa mkuu. hata kwa kizazi cha sasa kinachojua umuhimu wa kutunza historia katika maandishi bado hakishughuliki na hilo kwa dhati,ndio maana historia ya mtanzania inaanza wakati wa ukoloni tu ila ya wenzetu miaka maelfu nyumaWatu wanapenda na kujua historia ya Wayahudi na Wasamaria walioishi miaka maelfu na maelfu mbali huko, lakini ukiwauliza historia ya Mwanamalundi, Kinjekitile, Mkwawa au David Kidaha Makwaia walioishi takriban miaka mia moja iliyopita kwetu hawaijui.
Hili ni jambo la aibu.
Ndiyo maana inakuwa rahisi kutuaminisha kwamba sisi si watu kamili.
Ndugu yangu muda mwingine samehe tu. Shukuru Mungu angalau wewe unatambua umuhimu wa kujua historia ya jamii yako kwanza kabla yakutafuta ya jirani.Mpaka hapo ushaonyesha jinsi usivyojua historia yako na jinsi gani haya makabila ya "Muhehe" "Mmakonde" "Msukuma", "Mgoni", "Mzulu" kati ya Wabantu kwa mfano, yalivyo very artificial na very later addition after the migration of the Bantu people.
Ni kama unamkataa mdogo wako mliozaliwa baba mmoja mama mmoja kwenye familia lafu unaenda kumkumbatia Myahudi ambaye hata hamna uhusiano wa karibu.
Ndiyo maana nikasema huu ni utumwa wa mawazo.
Bantu Migration
Sasa hawa wageni washawashika Waafrika wengi pabaya.Ndugu yangu muda mwingine samehe tu. Shukuru Mungu angalau wewe unatambua umuhimu wa kujua historia ya jamii yako kwanza kabla yakutafuta ya jirani.
Nakuunga mkono kuwa sisi waafrica wengi bado ni watumwa kifikra. Sisi ni wajinga kwa kila kitu. Kuna mzungu mmoja alisema hivi. " Wana sayansi na historia wanasema binadamu alikuwa anatembea kama wanyama wengine, kisha akainuka kidogo kama nyani na hatimaye kuwa wima kama tulivyo sasa.
Na hiyo process sio kwamba ilifanyika kwa uwiano sawa, hapana, wapo waliotangulia na wengine wakafuata taratibu. Hivyo basi'' baada ya mabadiliko ya kimwili/physical change hatua inayoendelea ni mabadiliko ya kiakili/cognitive changes ambapo mtu mweusi yeye bado sana kulinganisha na race zingine kama wazungu, wahindi, china nk. Yaani mtu mweusi kamzidi mnyama tu."
Najua wapo watakaokuja kupinga hii kwakuwa waliaminishwa tangu shuleni kuwa wakoloni ndio waliofanya tusiendelee.
Mada zisizohusika ni zipi na kwa nini unaandika mada hizi hazihusiki?Nimependezwa na hii mada ila nachukia baadhi ya watu wanaoingizamada zisizo husika kama huyu alwatan
Sent using Jamii Forums mobile app
Kizazi kitaanzia wapi wakati kishaambiwa Muisraeli ni taifa teule la Mungu. Jerusalem ni mji mtakatifu, Waisraeli wamepata baraka za Mungu na atakayewasema vibaya atalaaniwa?tatizo ni usahihi wa taarifa mkuu. hata kwa kizazi cha sasa kinachojua umuhimu wa kutunza historia katika maandishi bado hakishughuliki na hilo kwa dhati,ndio maana historia ya mtanzania inaanza wakati wa ukoloni tu ila ya wenzetu miaka maelfu nyuma
Tatizo la mababu zetu historia yao hawajaiandika.Aibu ni kwa sababu kama hujui historia yako, hata mtazamo wako huwezi kuujua.
Utapandikiziwa mtazamo wa mtu na kufikiri huo ndio mtazamo wako.
George Santayana said those who do not remember history are condemned to repeat it.
By not knowing our own history, we are repeating slavery, of the more subtle sense, of the mind.
Ukiacha kusoma historia yako na kujikita kwenye historia ya Wayahudi ndiyo mwanzo wa kuamini Wayahudi ni taifa teule na sisi ni wasindikizaji tu hapa duniani.
Watu wanaweza kukutajia vizazi vya Wayahudi 40 kurudi nyuma, lakini ukiwauliza jina la baba yake baba wa bibi mzaa mama wana draw a blank!
Utumwa wa kimawazo.
Hilo si tatizo, hiyo ni challenge.Tatizo la mababu zetu historia yao hawajaiandika.
Ukimwuliza babu, babuyake anaitwa nani nayeye hajui, utakuta hata kusoma hajui.
Ndio mana hata shuleni tunasoma historia ya mto Rhine wa huko Ulaya na hatuijui mito yetu kama mto
Malagalasi upo wapi na chanzo chake ni kipi.
Hakuna pa kusoma historia ya makabila yetu.
Ndo kwa maana tunafuatilia historia za wenzetu walioziandika vizuri tokea uzao wa Adamu na Hawa hadi hivi leo.
Waisraeli hao.
jamaa wajanja mno,ila ni rahisi kugundua kama ukitulia na kusoma huku na huku,Kizazi kitaanzia wapi wakati kishaambiwa Muisraeli ni taifa teule la Mungu. jerusalem ni mji mtakatifu, Waisraeli wamepata baraka za Mungu na atakayewasema vibaya atalaaniwa?
Na upande mwingine kizazi kinaambiwa kariri Kiarabu, lugha zenu hazifai. Mkisali lazima muangalie Mecca na muende kuhiji huko kama vile Mungu anapatikana huko tu.
Ndiyo maana hata majina siku hizi unakuta mtu anaitwa Josephine Joseph, kama vile hana jina la ukoo.
Tumefukuza mkoloni halafu tunaendeleza ukoloni wa akili.
Lazima vizazi vione fahari ni kuwa muarabu mweusi, mzungu mweusi au muisraeli mweusi.
Monkey see, monkey do.
Ukiuliza mtu historia ya machifu wa kabila lake hata majina hawajui.
Ukiuliza ngoma zenu mnachezaje atakwambia ushenzi.
Wkati hao hao wazungu mnaowafuata washakuja zamani sana kufuata historia za maisha ya Wahadzabe wa Tanzania, na wamewasifia sana kwamba wanaishi maisha yanayo make sense. Jana nilikuwa nasikiliza kipindi BBC World Service kunamsomi mmoja Muingereza alikuja Tanzania miaka ya hamsini akafanya research kwa Wahadzabe akajifunza hunting and gathering, mpaka akajua lugha yao. Mzungu huyo, msomi. Kwao washamaliza kuandika vitabu vyote vya historia zao, mpaka wanakuja kwetu. Sisi historia ya Nyerere tu miaka sitini iliyopita imejaa ukungu hatuijui, lakini tunajua vizazi vyote vya Suleimani na tunaweza kuvitaja bila kusoma!

Ukisoma historia vizuri utaona kwamba kuna watu wamejikuza sana kwa stories za uongo.jamaa wajanja mno,ila ni rahisi kugundua kama ukitulia na kusoma huku na huku,
mfano wanasema solomoni alikuwa mtawala mwenye nguvu sana na hekima nyingi,
ni story za kutunga tu,solomoni alikuwa ni mtawala mdogo tu asiefahamika eneo hilo na usikute alitawala eneo la ukubwa sawa na kitongoji tu,ndo maana hata katika vitabu vya history hayumo kama wenzake akina alexandra the great,hammurabi au wale watawala wa asyria,
ukifuatilia history kwa makini utagundua kuwa hata baada ya mfalme wa kwanza wa israel kuanza kazi,hapakupata kuwa na stability hapo na uongozi ulikuwa inafikia hatua wafilist ndo wanawatala waisrael,
rejea kisa cha samsoni,utaona kuwa kipindi hicho wafilist ndo walikuwa wanatawala na waisrael wakipigana na wafilist mara kwa mara ili kujikomboa,
hadi saul anakufa,Daud anatawala miaka kadhaa ikapita ndo Daud akauteka mji wa jerusalem,
hata baada ya hapo hakukuwa na stability,
vita vya wao kwa wao,rejea vita vyao na wana wa kabila la benjamini,
hadi daud anakufa na kuingia solomoni,hatuoni israel ikiwa imejipanua zaidi ya ukubwa wa mtaa ama kijiji kimoja,
hadi solomon anakufa na israel inagawanyika bado haikuwa na nguvu kulinganisha na falme kama asyria,egypt,mesopotamia,kushite empire etc.
Hadi utawala wa israel unaanguka na kubaki Yuda ambayo nayo ikaja kuanguka,hakuna signifcant achievement ya hawa watu zaidi ya kujipamba kwenye vitabu
Mkuu Al-Watan naona unatoa darasa mujarabKizazi kitaanzia wapi wakati kishaambiwa Muisraeli ni taifa teule la Mungu. jerusalem ni mji mtakatifu, Waisraeli wamepata baraka za Mungu na atakayewasema vibaya atalaaniwa?