Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,899
Mtabakiza mbao mwaka huu.
Chama cha Kichaga hakiwezi kuitawala nchi ya makabila 126
Mtabakiza mbao mwaka huu.
Chama cha Kichaga hakiwezi kuitawala nchi ya makabila 126
dah...poleni chadema naona mko na tough job kuna changamoto ya kupambana na ukweli ambao unaitwa propaganda
Umeona nyomi Kahama na Arusha jana, uliona nyomi mbeya juzi...Mtabakiza mbao mwaka huu.
Chama cha Kichaga hakiwezi kuitawala nchi ya makabila 126
ili msamaha uwe murua lazima wadisclose timu yao waliyokuwa wanaitumikia, wamtaje mfadhili wao n.k
Na umma ufahamishwe kupitia wanahabari.
Unaweza kututajia mkoa wenye shule nyingi kuliko yote Tanzania.
Mtabakiza mbao mwaka huu.
Chama cha Kichaga hakiwezi kuitawala nchi ya makabila 126
mtabakiza mbao mwaka huu.
Chama cha kichaga hakiwezi kuitawala nchi ya makabila 126
Sie watu wa mwambao tafsiri ya "kuwashughulikia" ni mzito kidogo! God forbid isiwe hiyo tafsiri tunayoifahamu sisi."Miongoni mwa majukumu yaliyonileta hapa Tanga ni kuwashughulikia hawa viongozi waliotoa matamko ya kupinga maamuzi ya chombo halali cha Kamati Kuu, lakini wameomba msamaha na kukiri kuwa walidanganywa,"alisema na kuongeza kuwa wamesamehewa, ingawa wataendelea kufuatiliwa nyendo zao.