Wasaliti waiomba radhi CHADEMA kutoa matamko kwa kushinikizwa maamuzi Kamati Kuu

Sie watu wa mwambao tafsiri ya "kuwashughulikia" ni mzito kidogo! God forbid isiwe hiyo tafsiri tunayoifahamu sisi.



sote tunachanganyikiwa kwa hila za mh MBOWE na Dr Slaa kupitia kwa Lema,Lissu na John mnyika,jamani tuamke hizi siasa za kuchafuana mwisho wake si Zitto bali ni CDM,Vijana tulione hili
 
Hongera CDM kwa msimamo usioyumba pia kwa kuwasamehe waliojirudi wakati wasaliti wakuu wakiendelea kulialia kwenye vyombo vya habari wakitafuta huruma za ccm.bbbbb
 
Heri mbao kuliko ufisadi wa ari mpya na maisha bora kwa watanzania wote, kwa ukosefu wa umeme, huduma za jamii duni, elimu duni, epa , Richmond, kwa nini lakini hatuelewi?
Candid Scope Mtabakiza mbao mwaka huu.
Chama cha Kichaga hakiwezi kuitawala nchi ya makabila 126
 
Hapa tupo watu wa kiwango cha standard language, kama za kikanda, za msimu nk si mahala pale, labda unataka kutushushia heshima ya JF.
Kuwashushia heshima kivipi? Kwani unachofahamu wewe ni lazima nami niwe bafahamu hivyo hivyo?!! Ina maana mtu ZNZ anavyosema maji ya bomba ni ya mfereji anashusha heshima ya wale wanaosema tofauti?! Kiswahili ni lugha bana, na ndio maana wana-bilolojia waka-introduce scientific names ambazo kote duniani kutakuwa na maana moja.
 
Hizo maana zenu za Pwani ndizo zimewafanya kuwa mlivyo hadi Leo!
Mwenzenu alisema "Huwezi kutaka Kula, bila kuliwa kidogo"
tuwe kama tulivyo kivipi? Watu wa bara kwa kujifanya mpo juu wakati hamna lolote!! Hivi huko bara ambako ni matajiri wa kutupwa ni bara ipi TZ hii?
 
sote tunachanganyikiwa kwa hila za mh MBOWE na Dr Slaa kupitia kwa Lema,Lissu na John mnyika,jamani tuamke hizi siasa za kuchafuana mwisho wake si Zitto bali ni CDM,Vijana tulione hili
Ajabu kuna wengine hawataki kusikia hata kidogo ukitajwa uovu wa hao....yaani; kwao uliowataja ni malaika wasio tenda kosa! Ukiwagusa, wee!
 
Tunahitaji kujua na kusoma mazingira ya hawa waliooamua kuasi kisha kuamua kujutia kosa, kwani vibaya kuhuhumu hata wanaoona wamepotea njia, kisha wanaamua kuitafuta na kuirudia njia ya uhakika.
 
Back
Top Bottom