Boiker
JF-Expert Member
- Oct 26, 2015
- 349
- 469
Interview anawafanyia mama, unategemea nini
Picha linaanza mama mwenyewe mweupe kichwani wanaochukuliwa sasa yaaan ni msiba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Interview anawafanyia mama, unategemea nini
duh!! hi ni hatariMimi sio muangaliaji wa TV hiyo,kuna siku nilienda kwa jamaa yangu nikakuta wanaangalia Wasafi TV,tena kipindi hiko hiko cha Story book na walikuwa wanaongelea kuhusu WORMHOLE....sasa cha kusikitisha huyo host ambaye anajiita profesa alikuwa na ubao na chaki,katika uchambuzi wake wa hilo jambo akachukua chaki akaandika ubaoni WORMHALL..nikasema huyu anafafanua kuhusu wormhole kwenye TV lakini yeye mwenyewe hajui inaandikwaje,pili kipindi kina timu kubwa sana ya maandalizi,mpaka kinaruka hewani hakuna hata mtu mmoja aliyegundua profesa wao kakosea kuandika neno wormhole.
DSTV 296
live mkuu,tena ukkuta wana tangaza yale ma kamali yao na washindi wa mchongo yani wana boa kinomaJana majira Kama ya saa mbili usiku niliwasha Tv nikaamua kuweka wasafi Tv niangalie maudhui yao nikakutana na kipindi kimoja kimeunganishwa Live wasafi Radio watangazaji wamevaa t-shirts za zambarau alafu wako wengi sana studio na kila mtu anaongea lake bila kupeana nafasi nikajikuta ndani ya dakika 15 kipind kinaniongezea hasira na stress tu maana ni kelele Kama wako sokoni sijui hata Kama wana usimamizi sahihi wale nikabadili channel Wala hata sitamani kuwafatilia maana hiii Ni Mara ya tatu nakutana na vitu vya hovyo kila nikiweka hiyo channel
Natumaini ulipata mwongozo..Dstv