Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,712
- 1,661
Wakubwa heshima kwenu,wadogo asante[emoji120]
Leo nlikuwa natazama kipindi cha 'the story book' ambapo mada ya leo ilikuwa ina wahusu kabila fulani kule Africa magharibi,kabila hilo inasemekana hula nyama za binadam (canibals).
Cha kushangaza wasafi wameomba radhi kuwa maudhui ya leo hayakuwa sahihi,hivyo wameomba radhi kwa yeyote aliye kerwa au kuudhiwa na maudhui hayo.
Maswali yangu juu ya uongozi wa vipindi:
1.Kipindi hakikukaguliwa kabla ya kuruka?
2.Mbona kina ushahidi wa video kabisa?
3.Je mtangazaji kapoteza umahiri wake?
4.Je wameogopa nini katika nchi husika?
5.Je video zile huwa ni real au scripted?[emoji120]