denis fourplux
JF-Expert Member
- Aug 17, 2017
- 1,049
- 1,379
hakuna kipya chini ya jua??..ina maana iphone 11 pro ilikuwepo tokea zamani??..
Mfano,Millard alipoingia clouds na kuja na kipindi cha Amplifaya kuna redio bongo ilikuwa inafanya kitu kama hiki??..huu ndo ubunifu unaozungumza..
Kutengeneza characters..mfano soudy brown..japo umbea si ishu zangu ila huu ni ubunifu wa hali ya juu..
Diamond awekeze kwenye creativity,atafanikiwa sana,na sio kugombania tu presenters
Samahani kaka Millard kipindi kakikuta tafuta interview yake ya juzi channel ya Maisha bongo utaelewa safari yake na why alihama ITV alipokua analipwa 300,000 mwaka 2008 Clouds wakamchukua kwa mshahara wa mara 5 ya ITV ameelezea mengi sana ya kujifunza na nimependa n mtu muwazi sana ameeleza kabisa alifel form 4 kwa kupata four ya mwisho ila akukata tamaa kabisa
Sent from my iPhone using JamiiForums