Wasabato ujumbe wenu huu hapa

Status
Not open for further replies.

Mkuu kaka km karibu sn Ktk Uzi huu!

Naona tangu December last year tukutane Ktk Uzi wako Wa Mama white mpk Leo ndo twakutana tena!

Una hoja gani Leo Mkuu!

Maana hapa hatuongei kwa maneno tu Bali na ushahidi tosha Wa maandiko!

Kwa mfano!

Mimi naweza sema sabato ni utakaso na nikakupa kifungu km hichi

Moreover I also gave them my Sabbaths to be a sign between them and me, that they might know that I am the Lord who sanctifies them. Ezekiel 20:12

Kwahiyo sabato ni dalili ya utakaso! Sasa km unaipinga utapata vipi huo utakaso?
 
Last edited by a moderator:

Ellen G.White: Alisema wapi kwamba watu weusi ni zao la shetani ni kitabu gani muheshiwa?? Acha kudanganya watu mchana kweupe wewe.
 

1.Romans:14:5-6





[SUP]5 [/SUP]One person considers one day more sacred than another; another considers every day alike. Each of them should be fully convinced in their own mind. [SUP]6 [/SUP]Whoever regards one day as special does so to the Lord. Whoever eats meat does so to the Lord, for they give thanks to God; and whoever abstains does so to the Lord and gives thanks to God.

2.Colossians:2:16-17



[SUP]16 [/SUP]Let no man therefore judge you in meat, or in drink, or in respect of an holyday, or of the new moon, or of the sabbath days:
[SUP]17 [/SUP]Which are a shadow of things to come; but the body is of Christ.

3.Galatians:4:9-10


9. But now that you know God--or rather are known by God--how is it that you are turning back to those weak and miserable principles? Do you wish to be enslaved by them all over again? 10 You are observing special days and months and seasons and years!
 
Mkuu Nafikiri mpk hapa swala la kunena kwa lugha litakua limeeleweka! Na bilashaka Hawa wenzetu walokole wameujua ukweli Leo!

Kweli naona somo la leo limekwenda vizuri, Mungu awabariki wote waliohusika katika kujifunza somo hili leo. Rosemarie amesaidia sana katika kuhakikisha ujumbe huu unawapata watu wengine wengi ambao hawakuwa wamesikiliza radio morning star. Jamani mbarikiwe sana na kama kuna hoja kama hizi twende tu kwa maandiko tutaelewana. Mods pia wabarikiwe kwa kutoondoa uzi huu mapema!
 


Mkuu umetoa mafungu Ktk kitabu cha Wakorintho Wa kwanza 14:2 na Mark 16:17

Hapa ni lugha gani inayozungumzwa? Ni lugha isiyoeleweka na wanadamu wengine au?

Nafikiri una hoja nzuri! Ebu tiririka tushare wote!
 
Yesu aliposema kunena kwa lugha hakumaanisha ndo uongee madude yasiyoeleweka alimaanisha kama wewe mchaga basi uweze kuongea kimasai na uwahubiri wamasai waelewe lakini Mimi ninachokiona jamaa huwa wanaongea madudu hata ukimwambia aludie kuyaongea na yanamaana gani hawezi sema zaidi ukimtazama kwa haraka huwa kama kapandwa na mapepo
 

Mkuu Ktk haya maandiko una Maana gani? Ebu fafanua kile ulichokusudia Ili tuweze kukuelewa!
 

Mkuu nipo,dah!unanikumbuka sana bwana Ntuzu,ni muda sana mkuu. Nakuelewa bwana Ntuzu,leo mimi ni mtazamaji tuuu mda mwingi,nadhani niwaache muendelee na mjadala mkuu ntuzu,au wewe unasemaje mkuu. Mjadala mzuri.
 
Last edited by a moderator:


Mkuu ata Mimi namshukuru Mleta hoja na wote waliopita na kuchangia Ktk Uzi huu!

Na pia shukrani zangu nyingi kwa Mods kuuacha huu Uzi hapa na tujifunze kuchangia hoja Vzr bila lugha mbaya na ushahidi Wa maandiko Nafikiri huu ustaraabu ni mzuri ambao unafanya Uzi haufungwi au kuhamishwa!
 
Huu ugomvi wa mama mmoja yaani ndugu wa tumbo moja yaani toka Uzao wa Isaka mpaka Yesu mnazareth sasa nitashangaa kama wale pimbi wa Saudia wataingilia mjadala huu.

pimbi mwenyewe, ingekuwa ugomvi wenyewe atapatikana mshindi na kukubaliana ingekuwa sawa, lakini mabishano ya kidini hayanaga mshindi hata siku moja, mtabishana wee mwisho wa siku kila mtu atabaki na lake, zaid mtakuwa mnaendelea kuchochea uhasama.
 
Mkuu nipo,dah!unanikumbuka sana bwana Ntuzu,ni muda sana mkuu. Nakuelewa bwana Ntuzu,leo mimi ni mtazamaji tuuu mda mwingi,nadhani niwaache muendelee na mjadala mkuu ntuzu,au wewe unasemaje mkuu. Mjadala mzuri.



Mkuu nakukumbuka sn ndugu yng!

Kiukweli mjadala ni mzuri! Hizi ni changamoto ambazo tumekua tunakutana nazo Ktk maisha yetu ya kila Siku! Lkn pia tunajifunza mambo mengi Ktk ulimwengu huu!

Mi ningependa uwepo wako Mkuu hasa Ktk hoja yako ya mama White au hii ya kunena kwa lugha, km utapenda unaweza ukajumuika nasi na mimi na wenzangu ambao tu wasabato na ata wasio wasabato tukaweza kukujibu!

Au km hauko na muda au unapenda tu kusoma hoja mbalimbali karibu sn Mkuu!
 
pimbi mwenyewe, ingekuwa ugomvi wenyewe atapatikana mshindi na kukubaliana ingekuwa sawa, lakini mabishano ya kidini hayanaga mshindi hata siku moja, mtabishana wee mwisho wa siku kila mtu atabaki na lake, zaid mtakuwa mnaendelea kuchochea uhasama.



Mkuu nakuomba Kidogo tuvumiliane na kutumia lugha nzuri!

Nisingependa kuona huu Uzi unaharibika au kufungwa!
Naelewa kuna Watu wengi wanasoma na kujifunza Ktk hii maanda na kuelewa kweli!
 
Mkuu Ktk haya maandiko una Maana gani? Ebu fafanua kile ulichokusudia Ili tuweze kukuelewa!
Mkuu mbona maandiko yenyewe yanajitosheleza!! au wewe ulitaka yawe na maana gani tofauti na Hiyo?
 
Ellen G.White: Alisema wapi kwamba watu weusi ni zao la shetani ni kitabu gani muheshiwa?? Acha kudanganya watu mchana kweupe wewe.

Sio sehem ya mada ya leo,ila kwa wakati wako kasome spiritual gifts vol 3 page 64,75 kitu kinaitwa "certain races of men",,,tafsiri yake unaipata letter to elder ingraham by white,kua certain races are negro or darkey and God never made Negro,they are results of amalgamation of man and beast since the flood! Kasome,unipm usiharibu mada ya watu kama unataka kujadiliana au ungoje mada itakayohusu hayo mambo.
 

Shukrani sana mkuu Ntuzu,mbarikiwe sana,leo ngoja niwe mtazamaji,siko kwenye mood nzuri mkuu. Ila mjadala wenyewe uko poa,unanifundisha mambo mengi hapa. Nawatakia kila la heri Bwana Ntuzu na wenzako,ombi langu kwa mods wawaache mpigane msasa.
 
Mkuu mbona maandiko yenyewe yanajitosheleza!! au wewe ulitaka yawe na maana gani?



And He opened their understanding that they might comprehend the Scriptures. LUKE 24:45

Sasa na Wewe fafanua Ili ueleweke! Sio uweke Mstari tu then utulie
 

Nashukuru sana na nimeappreciate the way ulivyonijibu ila naomba usome Mwanzo:24:22; 28-47 halafu unisaidie ina maana gani?
 
Shukrani sana mkuu Ntuzu,mbarikiwe sana,leo ngoja niwe mtazamaji,siko kwenye mood nzuri mkuu. Ila mjadala wenyewe uko poa,unanifundisha mambo mengi hapa. Nawatakia kila la heri Bwana Ntuzu na wenzako,ombi langu kwa mods wawaache mpigane msasa.


Pamoja sn Mkuu! Nakushukuru sn kwa uwepo wako!

Nami pia nawaomba mods na kuwashukuru kwa kutupa hii nafasi huru kwa wote!

Mungu awabariki sn @moderators wote!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…