Biblia inasema.ktk wagalatia 5;16 mkiongozwa na roho humko chini ya sheria..........hawa wa7to hawaongozwi na Roho na ni lazima wamkatae Roho mtakatifu kwani wao wanaangalia sheria tu.Naungana na Padri kuwa hawa siyo wakristo.Ni waganga wa kienyeji tu.
Wapendwa,
nimeshangaa sana kusikiliza radio yenu inayoitwa Morning star na kukumbana na kashfa za ajabu juu ya makanisa mengine nashangaa mhuburi anasema eti makanisa mengine wakiomba wanakuwa kama wameingiwa wazimu,haitoshi akaendelea makanisa mengine yanayoitwa ya walokole wakihubiri wanaongea kama wamelewa au wameingiwa wazimu.
Nyie wasabato nyie hamjui biblia wala utendaji kazi wa Roho mtakatifu.
Ngojeni niwaambie nyie wasabato mnaojifariji mnamjua Mungu kuliko makanisa mengine.
Mimi nimeokoka na nimejazwa Roho mtakatifu,nikianza kuomba najikuta nimezama kwenye upako wa Roho mtakatifu,manake ni kwamba Roho mtakatifu sasa anaishi ndani yangu na ananiongoza kwa mambo yote ninayofanya hapa duniani.
Hao mnaofikiri wameingiwa wazimu ni kwamba wamejazwa Roho mtakatifu,kumbuka Yesu alipopaa mbinguni aliwaahidi wanafunzi wake wabaki Jerusalemu mpaka wajazwe Roho mtakatifu.
Mnakumbuka walivyojazwa Roho mtakatifu watu waliwadhihaki wakisema wamelewa kumbe ulikuwa UPAKO WA ROHO MTAKATIFU.
Nawashangaa sana enyi wasabato badala ya kupambana na shetani mnahangaika na makanisa Yenye imani kama yenu,huu ni uwezo mdogo wa kuelewa maandiko matakatifu.
Enyi wasabato vita yetu siyo ya damu na nyama bali ni katika ulimwengu wa ROHO.
Kaeni kama mlivyo na tutawaombea ili Mungu awatoe hayo yaliyo kwenye moyo wenu.

Ni ngumu sana kumuelewa Mungu, ni ngumu sana...
Wasabato wanaijua bible sana kuliko makanisayote duniani
Hapana, Naona Mungu amekubariki una simu nzuri tu na unaingia kwenye mtandao, kwa nini usiangalie tu hapo ukairusha hewani ili tuifanyie kazi mpendwa? Angalia comments zangu zinaenda na ushahidi wa kile ninachokisema mimi!Niko kazini sina Biblia hapa karibu ila kama wewe ni msomaji wa Biblia jaribu kuangalia 1 corinth
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Jamani wapendwa wote mnaosoma Uzi huu!
Ebu tuangalie kitabu cha Acts 2:1-13 Maana hapo Roho mtakatifu ndipo alipowashukia wale 12 na kuwafanya waongee lugha ambazo si zao za asili tena bible iko wazi kabisa kwamba waliweza kuongea Kilibya, Kimisri, Kiarabu na lugha zingine nyingi tu! Kitu ambacho Walokole mnalichukua hili Andiko vibaya Na Ktk dua zeno mnapiga makelele tu ya malugha ambayo hayajulikani! Na wakati kunena kwa Lugha Ktk Hiyo acts 2:1-13 ni mtu kuongea kwa lugha ingine ili habari njema isikike!
Ni sawa na Mimi ngosha kuhubiri kwa English ambayo sio lugha Yangu ya asili!
Kwa Hilo ndugu zangu Walokole mmepotea! Na mnamsingizia Roho mtakatifu Ktk uovu! Kumbuka dhambi ya kumkufuru Roho ni dhambi--------
La kweli katika mtizamo upi? kama ni katika Biblia nakupinga, ila kwa mafundisho yanayopingana na bible hapo sawa. Kwa hiyo bila chenga nasema kanisa la katoliki ni la kweli katika kufundisha uongo.Wasabato si ndo wale wanaotaka kwenda marejani kuhubiri bila visa,pasport tena bila nauli.?
Kanisa la kweli ni katoliki tu,mengine makelele tu.
Niko kazini sina Biblia hapa karibu ila kama wewe ni msomaji wa Biblia jaribu kuangalia 1 corinth
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Tedo
Naona sasa umeshaelewa kwann huwa mnakasirika mtu akiwaambia tu iliyo kweli ya biblia ndo mnaanza kusema ooooooh!!kila mtu afanye yaliyo yake na afate imani yake na je yule anayeamini miti au mawe yampaswa afundishwe kweli iliyopo ya biblia ili asipotee kwa kile anachoamini na jambo la msingi hapa si tutaendelea kuwaambia ukweli uliopo wa neno la mungu
Balikiwa tido nina imani utafuata imani iliyo bora na sio bora imani.....
Kwan roho mtakatifu ndio nani haswa?
Hapana, Naona Mungu amekubariki una simu nzuri tu na unaingia kwenye mtandao, kwa nini usiangalie tu hapo ukairusha hewani ili tuifanyie kazi mpendwa? Angalia comments zangu zinaenda na ushahidi wa kile ninachokisema mimi!
Kwan roho mtakatifu ndio nani haswa?
Wasabato wanawachukia wote ambao sio wasabato, na wanaamini kuwa wakristo wengine hawataweza kwenda mbinguni isipokuwa wasabato.Mimi niliwahi sema, wasabato wanawachukia wakatoliki kuliko hata shetani mwenyewe. Kumbe wanawachukia na walokole pia.
umenitukana bila sababu kwenye pm sitamani ucomment hata post yangu
Nimekukomesha na ukweli ili uieshimu ndoa yangu.tafuta mume huko kwangu kumejaa sitaki shobo.
hivi unanitafuta nini? wewe ndo kwanza upo honeymoon mwenzio nakaribia miaka 15 kwenye ndoa..pole
Labda lugha ambazo huwa wananena ni za asili...!! Niliwahi hudhuria kanisa moja la kilolkole na mnenaji mmoja alikuwa anaongea lugha ya kwetu kiufasaha kabisa.
La kweli katika mtizamo upi? kama ni katika Biblia nakupinga, ila kwa mafundisho yanayopingana na bible hapo sawa. Kwa hiyo bila chenga nasema kanisa la katoliki ni la kweli katika kufundisha uongo.
Uliwahi kusikia !! na je kwanini usingewauliza wenyewe kwamba ni wakristo au sio wakristo??