Wasabato ujumbe wenu huu hapa

Status
Not open for further replies.

asante kwa majibu yako...Ubarikiwe
 

duh! mbona umekuja umefura hivi,kuna maelezo mazuri sana yanatolewa humu usiwe na jazba. Sasa usipotaka mwenziyo asisikilize haya wakati wewe ushamfahamu Ellen G. White una maana gani? Haya tupe mafungu yanayokuelekeza kutoitunza Sabato kama ndo shida yako kubwa! Halafu mimi nitakwambia kinachokufanya usiitunze Sabato kwa andiko!
 

Nikiwa nasoma seminari flani ya Kilutherani alikuja mchungaji wa kike wa kilokole, alikuwa ananakorokocha hivi:

Sinda kala, rinda kala, kaka nalo saika....

Hiyo ndo mnaita lugha ya malaika, heee! Yaani biblia yote toka agano la kale mpaka Ufunuo sijaona mtume wala nabii yoyote akikorokocha, ningeona hata mstari mmoja wameandika hayo makorokocho hakika ningeamini. Lakini wote huo ni udanganyifu wa wakatoliki.... working behind the curtain.
 
Kuwa mstaarabu. Acha kutukana dini za watu
Kuokoka kwako hakuna tija. Kwanza unajua kuokoka ni nini au mnaongea. Kuwa mstaarabu usiwe kama mwana siasa.
 
Msihukumu, msije mkahukumiwa. mimi binafsi naliogpa saaana neno hili.
 
Hivi wale masalia walio wepiga kambi pale airport dar ili waende hubiri injiri ughaibuni bado wapo?! Au walifanikiwa safiri?!
 
Mm sio msabato ila nakushaur usisome biblia kama gazet ama kitabu cha shigongo.soma tafakar na kuelewa
 
Lengo la mabandiko kama haya ni nini hasa?

Hili bandiko halijatoka katoka sayari ya jupita, pluto, zebaki au mars......ni katika jamii mbandikaji amelibandika bandiko hili katika jamii forum...hivyo hakuna cha kuhofu..maswala ya jamii waachie wanajamii wenyewe.
 

"Eloi, Eloi, lama sabachthani" Jesus 0 AD.
 
Msabato hana upendo na dini yeyote ile ndo maana ukisoma kwenye chuo chao wanawalazimisha watu wote kusal sabato na kukashfu madheheb mengne wakiwa wanahubir.mi si washangai kwa hlo.huwa wanaona wakombinguni. Niher uish na mtu ambae hajui mlango wakanisa lolote wala msikit kuliko msabato. Msabato ni kero na nikikwazo ogooa mtu anaependa kuone wengne anamatatzo yeye pekeake ndo yupi sawa
 
Lawkey huna maana wakatolik ndo wamewaambua walokole wanene kwa lugha au ukatoliki na ulokole vinauhusiano acha habar zako za kilocal mnafik wewe ambae toka umeanza kuisoma hyo biblia haijawah kukubadilisha.
 
Wapi umesikia wakatoliki wananena kwa lugha ficha upumbavu wako...
 
Busara ni kuwa mvumilivu hata kwa usilolipenda.....kusema dhahabu...ukimya almasi
 

Duh aisee hivi kumbe? Ndio mana kuna watu wanasaka wachumba na kuweka note (asiwe msabato)!! Kuna la kujifunza badala ya kukuza chuki na hasira.

Kwanza nadhani wana misimamo yao kwa wanachoamini ndio mana wanafukuzwa hata vyuoni. Hii ni dhana nzuri sana, just be wrong in the right direction as far you know the destiny (McBeth). Kuwa na msimamo ni siri ya ushindi, ukiwa yumba yumba huwezi timiza determination yako. Nawapongeza sana hao jamaa na ni somo kwa wengine tusion na misimamo ya yale tuaminiyo. Hata Mtikila alionekana chizi miaka hiyooo lkn kumbe hata mm sikuelewa mpk Warioba katufumbua macho. Mch Mtikila alikuwa na msimamo!

Ukiwa unaufahamu ni rahisi sana kuelewesha wenzako kwa hoja, je hao wasabato wanayoamini yana msingi wa maandiko ama ni misimamo tu ya kivyao vyao?
 

tupe ushahd plz
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…