Naona unazidi kuleta habari nyingi tu! Hizo ndio zimekua kauli zenu kwamba mapokeo!
Mkuu Samahani kwa kutokufatilia swala lako! Ngoja niisome Hiyo Genesis then soon ntakuja na majibu!
sasa si mapokeo ni nini.si mafundisho ya huyo White ndiye kawaletea trakoma ya maandiko.Tubu acha kumukufuru Roho mtakatifu.Uende mbinguni.ukale sabato ya milele sio siku moja tu ya jumamosi.
Ukiangalia Agano la kale hata Waislam wanazungumzia yaliyomo, ukiona jinsi msisitizo wa ufuataji wa sheria ulivyo kwa Waislam hata Wasabato ni hivyo hivyo, wasabato si wakristo! kama watasema wanamkiri kristo hata Waislam wanamkubali (Nabii Issa). Acha kuvutiwa na upande mwingine, wala usisikilize maongezi yao kwa kuwa ni shetani. Yesu aliahidi kuleta msaidizi hakuahidi kutukuza Sabato kwa kuwa alijua ukiongozwa na roho mtakatifu umewekwa huru kwelikweli wala hufungwi na sheria utakuwa mtenda mema na mcha MUNGU si wa unafiki bali wa kweli. Siku imewekwa na wanandamu kuitwa jumamosi au jumapili lakini roho mtakatifu imewekwa na MUNGU mwenyewe kupitia ahadi ya YESU KRISTO mfufuka. Waache wadanganyane kwa kufuata maneno ya aliyeingiwa na pepo Ellen G. White. MUNGU akufungue macho ya Rohoni uweze kutambua ukweli wake.
sasa si mapokeo nini.si mafundisho ya huyo White ndiye kawaletea trakoma ya maandiko.Tubu acha kumukufuru Roho mtakatifu.Uende mbinguni.ukale sabato ya milele sio siku moja tu ya jumamosi.
sasa si mapokeo nini.si mafundisho ya huyo White ndiye kawaletea trakoma ya maandiko.Tubu acha kumukufuru Roho mtakatifu.Uende mbinguni.ukale sabato ya milele sio siku moja tu ya jumamosi.
Sabato ilikuwepo tangu Eden! Sasa huo ulokole ulikuwepo wakati huo? Au umekuja kutoka Ktk vuguvugu la Wa Protestants?
Nyie ndio mnaomkufuru Roho Maana mnageuza maandiko Ktk upotevu wenu na kumsingizia Roho!
Ukiangalia Agano la kale hata Waislam wanazungumzia yaliyomo, ukiona jinsi msisitizo wa ufuataji wa sheria ulivyo kwa Waislam hata Wasabato ni hivyo hivyo, wasabato si wakristo! kama watasema wanamkiri kristo hata Waislam wanamkubali (Nabii Issa). Acha kuvutiwa na upande mwingine, wala usisikilize maongezi yao kwa kuwa ni shetani. Yesu aliahidi kuleta msaidizi hakuahidi kutukuza Sabato kwa kuwa alijua ukiongozwa na roho mtakatifu umewekwa huru kwelikweli wala hufungwi na sheria utakuwa mtenda mema na mcha MUNGU si wa unafiki bali wa kweli. Siku imewekwa na wanandamu kuitwa jumamosi au jumapili lakini roho mtakatifu imewekwa na MUNGU mwenyewe kupitia ahadi ya YESU KRISTO mfufuka. Waache wadanganyane kwa kufuata maneno ya aliyeingiwa na pepo Ellen G. White. MUNGU akufungue macho ya Rohoni uweze kutambua ukweli wake.
naona watu wanaelewa. Mnakaribishwa kutembelea makanisa ya sda popote pale ulipo, kwa walio dar waweza sikiliza morning star 105.3 kuna mafundisho mazuri sana na sabato nyingine huwa wanarusha moja kwa moja mahubiri kutoka makanisa tofauti tofauti.
Bwana anawapenda na anapenda kila mmoja afike mbinguni, uchaguzi ni wako
sabato ilikuwepo tangu bustani ya eden! Na sabato ipo na itakuwepo milele zote!
Naona umekuja speed sn alafu bila ata andiko!
Ebu fanya utetezi wa maandiko!
ni kweli mkuu watu wanapinga uwepo wa roho mtakatifu wakati karibia Yesu anapaa alisema ametuachia msaidizi ambaye ni roho mtakatifu na dhambi isiyo sameheka ni kumkufuru roho mtakatifu kitu kama hawaamini ni bora wakae kimya sio kuongea ili waonekane ni bora
acha kushikilia siku wewe, mshikilie bwana wa siku(sabato) Yesu kristo peke yake. Okoka leo!!
you must repent for blaspheming the holy spirit.
Yesu ndo bwana wa sabato hayo mengine ni yenu
Hivi wasabato ni wakristu?
kuna mahali flani nilishawahi kusikia kuwa wasabato si wakistro na hawaujui u-kistru...