Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Eti masabato,,wew wakikuita magaidi utajiskiaje???
Mkuu Usijali! Waache watuite watakavyo! Lkn wanatakiwa kufahamu Kua kamwe hatutoacha kusimamia ukweli!
Eti masabato,,wew wakikuita magaidi utajiskiaje???
yah..masabato. masabato masalia .. mie nilisha-reach enlightment , I'm free from your exported arranged religions.Eti masabato,,wew wakikuita magaidi utajiskiaje???
Sio kweli! Ata ndugu yako Tedo nimekatalia!
...mtuwa just know kuwa mwisho wa siku lengo langu la kulanduka halikutimia pamoja na kutoa kilo yangu ya mchango!..we toa tu mkuu yawe wazi ,si wote tunajifunza ili jamii iwe secular
Nimekuuliza kwanza unijibu Wewe! Km huns Jibu ndio uulize swali lako!
Nakuuliza Ni wapi ktk maandiko kumeruhusu kusuka? Km huna Jibu sema sina Jibu nikujibu swali lako! Sawa Remote?
yah..masabato. masabato masalia .. mie nilisha-reach enlightment , I'm free from your exported arranged religions.
Mkuu hiyo ni historia na dunia haita isahau kamwe....
Soma hicho kitabu cha "The four Cult"
Kwenye Biblia wapi imeamdikwa kuvaa suti na Tai, kuendesha gari, kunyoa nywele, kula na kijiko.....Mkuu ukitaka kuuliza maswali ya kishe.nzi kama haya hatutapata muafaka....
Hizo ni taratibu za kanisa lenu..
kila wazo na kila tendo litaletwa hukumun (beer & liquor drinking). ombi langu kwa Mungu wangu ni kuwa alie post hii post, ajue side effects za pombe, ili ajisalimishe miguun pa Yesu. kwa Neema ya Yesu @ the end of this year atakuwa shemas wa kanisa la SDA.. karibu kwenye shule ya 7to, karibu kusikiliza nyimbo za wa7to
Uko na nani unataka kunijibu? sasa wewe ushaufunua upumbavu wako tayari..Answer a fool according to his folly, Lest he be wise in his own eyes! Proverbs 26:5.
Unataka tukujibu kutokana na kanuni ya maandiko inavyosema?
Kimsingi unachangia ili kufanikisha malengo na mapendekezo ya harusi kwa mujibu ya wenye harusi walivyopanga na sio kwa ajili nyingine. Labda ilitakiwa ujue unachanga mahali ambapo pombe hakuna ili uwe na hiari.
Ulitakiwa kujibu swali kwanza kama ni kabila ama siyo kabila ndo uanze kutapika na kuhara kama ulivyojitapikia.
Mkuu Usijali! Waache watuite watakavyo! Lkn wanatakiwa kufahamu Kua kamwe hatutoacha kusimamia ukweli!
Uko na nani unataka kunijibu? sasa wewe ushaufunua upumbavu wako tayari..
Ellen G White hausiki na iko wazi tu Kua bwana Miller ndio anahusika!
Ujumbe ni upi ewe msabato masalia?Teh Teh Teh!
Ujumbe umeupata weye!