Wasabato msituchangishe kama hamtaki bia

Wasabato msituchangishe kama hamtaki bia

Mmh haaya yangu mimacho tu. Ila fanya hivi ukiona kuna vyoda ingia na viroba vyako ukumbini ukiseviwa fanta unachakachua na viroba vyako ndo fasheni siku hizi
Halafu hata kama kuna bia hufaudu kabisa tubia twenyewe tuwili tutatu tu ndani ya masaa mane ya sherehe au saa ingine unataka kesto ya baridi unaletewa Kilimanjaro cha moto

Jambo la ajabu sana kulilia bia za kwenye sherehe. Kwanza unaweza usipate bia ya chaguo lako na pia unaweza kupata moja au usipate kabisa.

Na si lazima ukichangia utumie hela yote uliyo changa. Huko bar nani atakunywa kama mtu anataka kulewea kwenye sherehe?

Ganda la ndizi na kitonga bhana.....
 
Nadhani ni rahisi sana, imani yako usilazimishe na wengine wafuate. Kama unaboreka na harusi ya soda, uache kuchanga, seems wewe mchango wako ni ili ukanywe na kula. Unatoa mchango kwa unayemfahamu, so unajua kwamba ni msabato au la, na una uwezo wa kuuliza kutakuwa na bia gani. Chakula gani etc ili ujue uchange au la. Usilazimishe azimio la walengwa na wanakamati. Jitoe mwenyewe mapemaaa na utabarikiwa na sio kulaaniwa kama sio kubaki kama ulivyo.
 
Ntuzu hawa jamaa nadhani wana lao juu ya usabato kwa mwaka huu. Au ndo maandalizi ya .... yanaanza kufanywa ili muda ukifika kila mmoja awe ameaminishwa kuwa wasabato ni ....


Hana hoja ya msingi Huyo anasumbuliwa na urafi na unafiki!

Kwa mfano michango ya harusi siku hizi kwa miji mikubwa Ni Kuanzia Laki moja Na kuendelea Huyo ndugu JEKI ktk huo mchango wake kwa nje ya wasabato hua anakula na kunywa nini kulingana na Hiyo thamani Yake ya Pesa?
 
Last edited by a moderator:
Harusi za kisabato zimekuwa za kero kubwa, wanasema hawataki kuweka vinywaji vyenye alcohol kisa imani yao, hawajui kama hayo mambo yanzuiwa kanisani tu, mkitoka kanisani huku kwingine ukumbini ni kwa Kaisali lazima watuachie ya Kaisali na ya Mungu tunakuwa tushayamaliza kanisani, kinachoudhi zaidi wanachukua michango yetu halafu wanatuchagulia cha kutumia, ile michango siyo hela yao, nakuwa nimetoam mimi na wala hoja ya kusema wananua wao si sahihi.

Kama wanasimama kwenye imani yao basi wasichangishe pesa zetu bali watumie zao na sisi tutakuja kunywa soda na juice kama wanavyotaka na siyo mchango wangu wa pesa waupangie cha kuninunulia.


Wewe hujui Maana ya kutoa! Ukichangia Maana yake Ni kwamba umesaidia! Sasa Km umesaidia na umetoa iweje Leo udai haki yako ya huo mchango?

Bila Shaka ata sadaka umekua unatoa batili kila siku Km hujui Maana ya kutoa!
 
wasabato wanamatatzo sana binafsi huwa siend kwenye harusi zao.. zinaboaaa..
yani mwendo wa kunyweshana maSODA tu

Remote rafiki yng! Matatizo ya wasabato Ni yepi?
 
Last edited by a moderator:
aise kweli maajabu hayatakoma!yani mtu analalama na bia mbili za kwenye harusi eeh!halafu unapochangia unakua umesaidia kwa namna moja au nyingine kufanikisha shughuli nzima,
na si kwamaana ya mchangiaji kudai badala.
"kuchanga hiari bia mbona zimejaa tu kila sehemu....
 
JEKI uko wapi? Mimi msabato niko hapa nakusikiliazia!

Au nianze kukupa neno ufahamu Maana ya kutoa? Au nikufahamishe kwamba mwili wako Ni hekalu la Bwana hivyo hutakiwi kuutia unajisi Wa ulevi etc? Maana Mungu hukaa ndani yetu! Sasa Km unalitia unajisi hekalu la Bwana, bila Shaka Mungu hawezi kukaa ndani yako!

Nakusubiri Mkuu kwa hoja Zaidi!
 
Last edited by a moderator:
Ni wengi wanywaji wanakwazika katika sherehe za wasabato,ni vizuri wachangiaji wakiambiwa mapema jinsi sherehe itavyokuwa....
 
Unajua tatizo linakuja kwamba hata ukiongea thread zote zikawa na mada yako tu humu JF hili halitobadilika.
Na kusema ya Mungu yanaishia kanisani, mbona unawaingilia jamaa, waache na imani yao, we ka unaona vipi usitoe mchango kwani lazima? chukua mchango uliotaka kutoa kaumalizie kwenye alcohol, simple...
 
JEKI uko wapi? Mimi msabato niko hapa nakusikiliazia!

Au nianze kukupa neno ufahamu Maana ya kutoa? Au nikufahamishe kwamba mwili wako Ni hekalu la Bwana hivyo hutakiwi kuutia unajisi Wa ulevi etc? Maana Mungu hukaa ndani yetu! Sasa Km unalitia unajisi hekalu la Bwana, bila Shaka Mungu hawezi kukaa ndani yako!

Nakusubiri Mkuu kwa hoja Zaidi!


Ha ha haa mkuu Wang kumbe wewe msabato eeh
 
Last edited by a moderator:
wasabato wanamatatzo sana binafsi huwa siend kwenye harusi zao.. zinaboaaa..
yani mwendo wa kunyweshana maSODA tu



Maaskofu wenu watawapeleka motoni kwa kuwahamasisha mnywe pombe..
 
"Jilinde na choyo maana uzima wa mtu haumo katika vile anavyokusanya" unajaribu tu kuficha tabia yako na mitizamo yako juu ya watu wengine. Najua wapo wasiokunywa bia huwa wanatoa michango yao kwenye harusi za bia na hawajakuja hapa JF kulalamika jinsi wanavyotoa michango mikubwa na kuishia kunywa soda. Umesema kuhusu bia lakini pia inashangaza kwenye dunia ya leo mzazi anaweza kuvumilia na kulalamika kidogo mtoto kuwa kahaba lakini anaweza kumchinja akiikana imani ya inayofuatwa na wazazi wake
 
Wanabodi,
Tunasikia viongozi na wanasiasa wetu wakituambia kila siku kwamba kilimo ndio uti wa mgongo wa taifa letu sasa inakuwaje hatufanyi jitihada kukifufua?.Katika kipindi cha awamu ya tatu tumeona msisitizo ulikuwa kwenye sekta ya madini na imesaidia kidogo angalau kuongeza kodi.Lakini swala kubwa hapa ni kwamba sekta ya madini haiajiri wananchi wengi kama sekta ya kilimo.Swala ni hivi kwanini hatuweki nguvu nyingi kwenye kilimo kama tulivyowekeza kwenye madini? kama tungefanya hivyo miaka 10 hii ya Mkapa hii aibu ya njaa mnadhani ingetukumba?


Poa poa mkuu nilijua nawewe ni mfuasi wa papa


Mkuu mi msabato!
 
hivi jukwaa hili leo limekuwa la udini,hujalazimishwa kutoa mchango wako mkuu hivyo basi usikashfu dini yetu
 
Ntuzu hawa jamaa nadhani wana lao juu ya usabato kwa mwaka huu. Au ndo maandalizi ya .... yanaanza kufanywa ili muda ukifika kila mmoja awe ameaminishwa kuwa wasabato ni ....

mkuu hizo deshi zako mie sikuelewi bfunguka usifikiri kila mmoja anajua kilicho kichwani mwako
 
Last edited by a moderator:
Ni wafuasi wa mwanamama mmoja anayeitwa Hellen G. White.......Aleyesababisha maelfu ya vifo kwa utabiri feki wa mwisho wa Dunia...



Acha uongo Mkuu! Mara ya ngapi Leo unazungumza uongo juu ya mama White?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom